Hawa spurs second half wote wamechoka-huu uwanja mbona una vipara? don't want players to get injured
Hebu fikiria Semedo apige sprints kwenda up front, huku kushoto pia Jordi Alba apandishe mizuka mpaka kwenye kibendera kule juu, alafu tupigwe counter attack nyuma kukiwa na baba Shakira na Langlet pekee!Messiiiiiii. Wakuu mbona Semedo hapigi hizi cutback kama za Alba?





Semedo sijui kwanini-bila cut back hataweza kuhold hiyo positionMessiiiiiii. Wakuu mbona Semedo hapigi hizi cutback kama za Alba?
Lakini mara nyingi akiwa kwenye eneo la kuattack huwa anapiga back pass si leo tu. Anakuwa tayari yuko kwenye eneo la adui lakini naonaga kama hana mbinu ya kupita na kupiga cross au cutback kama wakina Alba na Marcelo.Hebu fikiria Semedo apige sprints kwenda up front, huku kushoto pia Jordi Alba apandishe mizuka mpaka kwenye kibendera kule juu, alafu tupigwe counter attack nyuma kukiwa na baba Shakira na Langlet pekee!
![]()
Haitoshi, kwa tunavyocheza mafullback ni muhimu wachangie pakubwa kwenye kuattack. Hii inasaidia kutanua uwanja na kucreate space.On Semedo,defending pekee inatosha? I think he should do more
Ila kwa fitina za minguvu,rafu na uwanja utafikir uwanja wa NANGWANDA SIJAONABaraca 4- spurs 2. Spurs wamepiga mpira kiume. Respect kwao.
Msimu wa nne huu wanacheza wote so they know each otherhivi suarez anavyo dummy mpira-messi uwa kampigia kelele au ni telephatic
Leo Arthur ameonesha kuwa anajua kwa kiasiNitaandika kesho kuhusu comments za match but mambo aliyoyafanya Arthur Melo, Semedo na Jordi Alba ni fireeee
Achilia mbali Messi ambayo tumemzoea -king amepiga wood work mara 2![]()





hivi suarez anavyo dummy mpira-messi uwa kampigia kelele au ni telephatic
Huu uwanja unatia aibu. Bora hata wa vallodoid.Ila kwa fitina za minguvu,rafu na uwanja utafikir uwanja wa NANGWANDA SIJAONA