FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ujio wangu sio wa bure hakika mimi nawaambia... yamkini mtakuja kuamini mara baada ya watoto kuchezea koki nyumbani kwao london
This is Barca,kwa ufupi matokeo ya match tatu zilizopita yasiwatishe , sio technical reason ,ilikua ni machaguo mabaya tu ya kocha na velverde analijua hilo sana tu

Our top top priority and secret is UEFA this year

namaliza hivi ,Totenham watapigwa goli tatu bila ndimbani kwao Totenham 0 barcelona 3
We are busy for something barca Forca visca el barca Mes que un club
 
Tukutane SAA 22:00 hrs
 
Barca IX Vs Spurs 03/10/2018
IMG_20181003_205346.jpg
 
Biashara imeanza poa sana leo. Hivi Roberto anaumwa maana hata sub simuoni.
 
Hawa madogo wanakaba balaa. Hawatupo nafasi. Inabidi tuongeze moto.
 
Barca anatakiwa acheze hivi- yaani winning bila hata ya kutoka first gear-plain sailing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom