FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Inauma sana, Athletic Bilbao hawajawahi kupata point Camp Nou toka msimu wa 2003/04 matokeo yalikuwa kama leo
 
Tatizo liko mbele,we are not getting goals,how do we expect the defence to hold out-suarez is fine but Dembele needs to up the stakes-he needs to spearhead the attack
Anakaaa sana na mpira
 
watani poleni sana ndio mchezo lakini naona leo watoto wanakaza
 
IMG_20180929_194924_105.jpeg
 
Wameua lamasia wanaua na timu kwa sababu ya makocha wetu sio wazur mfano ni huyo kocha anabebwa na tym hana uwezo wowote makocha bora duniani ni klop gudiola na pochetino mm nawakubali we jiulize enrique baaada ya kutoka barca club ipi ilimuhitaji? Kocha anamueka benchi lapulga kisa uefa ?! Hana ubunifu wowote wowote tumekuwa kama man u daaaaaaah!? Ni hatareee kumbukeni mess kwa kasinalioifanya leo halafu na umri unaenda.Zidane mpaka leo yupo benchi tuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom