GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Hahaaaa ngoja tuoneDUUH!!!!!!!!!!!!! Mimi naona Velverde kama Mourinho kachoka kazi-Messi bench AU kagoma kucheza????
Hahaaaa ngoja tuoneDUUH!!!!!!!!!!!!! Mimi naona Velverde kama Mourinho kachoka kazi-Messi bench AU kagoma kucheza????
nimekipenda hiki kikosi kinamabadiliko makubwa. Roberto karudi kati. Dembele kaweka winga ya kulia. Sema tu Kumkosa Messi ni tatizo hata kama tutacheza vizuri na kushinda.Barca IX 29/09/2018View attachment 881477
Poa mkuuLeo vipi wazee wa Catalonia
Sawa tutamfikishia japo Leo hajaazaMsalimieni kirikuu wenu
Mnapigwa tena msipoangaliaSawa tutamfikishia japo Leo hajaaza
Acha hizoMnapigwa tena msipoangalia
Mbna anafanya ivo sema sio muda wote unaeza fanikiwa kupita ndo mana dembele anaonekana kupoteza mipira kutokana na kulazmisha kuptaNeymar used to hog the touchline and cut in-J Alba does the same kwani Dembele hawezi cheza hivi?
Anakimbilia kati kwenye too many defenders-angekimbilia pembeni na ku cut back ingekuwa safiMbna anafanya ivo sema sio muda wote unaeza fanikiwa kupita ndo mana dembele anaonekana kupoteza mipira kutokana na kulazmisha kupta
Yaani acha tuHii Barca-heart attack itatuhusu
Usihofu mkuu leo RM wanapigwa tena. Atleast leo nimeona timu inayoweza compete UCL.Yaani acha tu
Ile miamba 2 ni hatari, tuombe ndugu zetu wa draw piaTumecheza mpira mzuri sana leo. Toka mwanzo. Chances nyingi tumekosa kwa bahati mbaya. Hata hivyo Athlethic siyo wabovu.