Game ishakuwa ngumu aisee
Huyu Stuani ni striker bora kuliko Suarez.
Barca watakuja na hasira zote...Game ishakuwa ngumu aisee
Dar. Stuani karudisha hapa. 1-1. dk ya 45. Coutinho inabidi aingie kwa Dembele.
Kashapiga bao la pili aise matumbo jotoStuan huko wakuu
Pique kasha wakalishaKashapiga bao la pili aise matumbo joto
Dah, Leo nachukua droo.Pique kasha wakalisha
Ushindi upo mkuu, ukate tamaaDah, Leo nachukua droo.