mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Nadhani tulishajionea mkuu right?Ngoja tuone Mkuu.
Hakika ushindi ushindi ushindi uko pamoja nasi.
Nadhani tulishajionea mkuu right?Ngoja tuone Mkuu.
Hakika ushindi ushindi ushindi uko pamoja nasi.
Suarez anatakiwa kupatiwa Replacement Kama Jesus iviila Suarez anaweza kutuangusha. Kaisha balaa.
Hatari sanaHuyu dembele kawa mtamu hiviiii
Ana improve ila mimi ninaamini ana kiwango zaidi ya tunachokiona ,afanye hivyo ili ampunguzie mzigo KingHuyu dembele kawa mtamu hiviiii
Yeah! Tayari, tumeanza vizuri aiseeh.
Mkuu ujue huyu ni right flankAna improve ila mimi ninaamini ana kiwango zaidi ya tunachokiona ,afanye hivyo ili ampunguzie mzigo King
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Jesus na Suarez lao moja tu.Suarez anatakiwa kupatiwa Replacement Kama Jesus ivi
Mkuu nadhani utakuwa umeaza kunielewaMpira dakika 90 mkuu
The mosquito
Hata akicheza right anakua hivi hivi ;Messi ni left lakini anakua right sanaMkuu ujue huyu ni right flank
Mkuu nadhani utakuwa umeaza kunielewa
Hahaaaa majibu unayo sasaBado ndo kwanzaaa gemu mbichi
Mm naona kama weweWadau Naona Goli la Dembouz ni Bonge la Goli, Nyinyi Mwaonaje??

Mi nasema bora tusifike fainal ila kombe tuchukue yanYeah! Tayari, tumeanza vizuri aiseeh.
Mungu bariki safari hii tufike fainali na kuchukua Uefa hii.








Hahaaaa majibu unayo sasa

Mkuu wenye mechi rahisi walikua barca,yale magoli hawakuhenyeka sana kama liver,hata wewe haukutegemea matokeo ya 3 kwa 2 so PSG sio timu kibonde UEFA
Hahaaaa sawa mkuu lkn mm nilisema hana uwezo wa kumfunga LiverpoolMkuu wenye mechi rahisi walikua barca,yale magoli hawakuhenyeka sana kama liver,hata wewe haukutegemea matokeo ya 3 kwa 2 so PSG sio timu kibonde UEFA
Hahaaaa sawa mkuu lkn mm nilisema hana uwezo wa kumfunga Liverpool