GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Aiseee kwa hiyo yale magoli mawili ya PSG liver walijifunga?
kwahiyo PSG kamfunga Liverpool?Aiseee kwa hiyo yale magoli mawili ya PSG liver walijifunga?
kwahiyo PSG kamfunga Liverpool?Huyo psg unaeamini ni mgum sisi tulimpiga 6, jana psv 4... Simple mathematic
nani kibonde hapo... !!![]()
![]()
![]()
kwahiyo PSG kamfunga Liverpool?
Basi sawa mkuuYeah zile mbili ila liver washindi kwa goli la firmino. PSG wakali bana
kumbuka ulipoongelea hayo ulihusisha barca na psv umesahau sio, Wewe si unadai barca tulikua na mechi rahisi ama!Mkuu tunaongelea Liver vs PSG matokeo 3 kwa 2,acha mkurupuko basi daah kama ile kujitapa eti msimu mzima hamkufungwa ukajisahaulisha levante nayo ipo la liga
kumbuka ulipoongelea hayo ulihusisha barca na psv umesahau sio, Wewe si unadai barca tulikua na mechi rahisi ama!
Kuhusu rekodi ya kutofungwa nani anashikilia!???
GUI1 eti huyu mdau alielewa ule ubishani wetu au kadandia gari la kampeni ili mradi afike mujini kushangaa maghorofa?
Mkuu ukikuta kuna mada sehemu kaa pembeni soma mchezo kabla ya kujiweka mzima mzima. Tafuta comment ya mwanzo kabisa ya GUI utaelewa.
Kwenye bold ni simba sports club mbele ya bwana jiwe na kaseja
Mipasho miingi kama haji manara! Hili ni jukwaa huru bwana si fungamani popote, na comment post yoyote as long as Barcelona is concerned![]()
Ila mkuu wewe mkurupukaji sana tena bila kuelewa ishu husika
Sasa ni uongo kuwa psg ni vibonde?
Psg mkali huko huko kwao hilo lipo wazi kabisa
MsameheGUI1 eti huyu mdau alielewa ule ubishani wetu au kadandia gari la kampeni ili mradi afike mujini kushangaa maghorofa?
Mkuu ukikuta kuna mada sehemu kaa pembeni soma mchezo kabla ya kujiweka mzima mzima. Tafuta comment ya mwanzo kabisa ya GUI utaelewa.
Kwenye bold ni simba sports club mbele ya bwana jiwe na kaseja
Anatakiwa chalii sharp kama Lozano au Rodrigo Moreno kwa mawazo yangu.Jesus na Suarez lao moja tu.
Kikubwa wahakikishe anapata pasi kama za goli la 2 na la 3 kwenye game zote, plus ufundi alionao. Kama angelikuwa anapata "penetration passes" kama anazowapigia yeye, hakika kila msimu angekuwa anapiga goli 50+. Msimu huu naona atafikisha...Messi ni noma msimu huu anabeba ufungaj bora uefa champ.. akuna wakumfikia??
Tatizo Neymar alijali pesa zaidi kuliko kipaji chake. Na hayo ndiyo malipo kwake...Magazeti ya Spain yanasema Barca kashinda match bila hata ya kutoka first gear-punde akipandisha gear inaweza kuwa hatari sana kwa opponents
Vilevile yanamsikitia Neymar kwamba at PSG ame derail kipaji chake bure
Team work,huoni ni sawa tu hata yeye akiwa anafanya kazi ya assist if you think ni mzuri kwa hilo.Kikubwa wahakikishe anapata pasi kama za goli la 2 na la 3 kwenye game zote, plus ufundi alionao. Kama angelikuwa anapata "penetration passes" kama anazowapigia yeye, hakika kila msimu angekuwa anapiga goli 50+. Msimu huu naona atafikisha...
Sawa mamaMagazeti ya Spain yanasema Barca kashinda match bila hata ya kutoka first gear-punde akipandisha gear inaweza kuwa hatari sana kwa opponents
Vilevile yanamsikitia Neymar kwamba at PSG ame derail kipaji chake bure
Kwa maoni yangu hatuna gear zaidi ya pale. Nina wasiwasi sana na hii timu. Imepunguza uwezo wa kukaa na mpira na maadui wanafika sana golini kwetu kwenye counter.Magazeti ya Spain yanasema Barca kashinda match bila hata ya kutoka first gear-punde akipandisha gear inaweza kuwa hatari sana kwa opponents
Vilevile yanamsikitia Neymar kwamba at PSG ame derail kipaji chake bure
Sasa ni uongo kuwa psg ni vibonde?
Psg mkali huko huko kwao hilo lipo wazi kabisa