Aisee we missed you so muchNipo sana,bado na observe match zinavyoenda-so far naona all is well-As from tomorrow against PSV nitakuwepo in full force
Mange hazo, hata hujui siku hizi hakuna VPLkama Barclona wakiweza kumsajir Pogba,,watabeba makombe yote ha d VPL
18 Men for to day's match 18/09/2018View attachment 869617
"Cku hzi" kuanzia linSiku hizi Chelsea wanapiga pass kuliko Barcelona
760 Chelsea
755 barcelona
Bado hajawa vzr mkuuMalcom vipi tena!
Naona coutihno pale, leo lazima atupie mbili hivi
Msimu huu mkuu"Cku hzi" kuanzia lin
Daah!Nipo sana,bado na observe match zinavyoenda-so far naona all is well-As from tomorrow against PSV nitakuwepo in full force
Liverpool wana match rahisi sana zaidi ya PSG, nikujulishe tu kuwa PSG ni team ndogo sana kwenye UEFA Champions leagueHAYA ule utamu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umerudi tena. Safari hii mambo ni moto kwelikweli, maana ile hatua ya makundi tu inaanza, Liverpool inakipiga na Paris Saint-Germain.
Unaambiwa hivi, huo ni mtihani mzito kwa Kocha Jurgen Klopp, ambaye atapima kikosi chake kama kweli kipo vizuri kwa mapambano mazito baada ya kushinda mechi zake zote tano za kwanza kwenye Ligi Kuu England.
Mechi hiyo ngumu itapigwa leo Jumanne uwanjani Anfield, ambapo kutakuwa na shughuli nyingine pevu huko San Siro, wakati Inter Milan itakapoikaribisha Tottenham Hotspur.
Mechi nyingine kali itazishuhudia AS Monaco ikikipiga na Atletico Madrid, wakati Barcelona itakuwa na kibarua na PSV, huku Club Brugge ikiwa na kasheshe la kuikabili Borussia Dortmund na FK Crvena Zvezda itacheza na Napoli.
Kesho Jumatano kutakuwa na mechi nyingine kali kwelikweli, wakati Manchester City itakapocheza na Lyon, huku Real Madrid ikicheza na AS Roma. Man United nayo itaanzia ugenini kwa Young Boys, wakati Valencia itacheza na Juventus, huku Viktoria Plzen itacheza na CSKA Moscow na Shakhtar Donetsk itacheza na Hoffenheim. Kesho Jumatano pia kutakuwa na mechi kati ya Ajax itakayokuwa nyumbani kucheza na AEK Athens na Benfica itakipiga na Bayern Munich.
Liverpool wana match rahisi sana zaidi ya PSG, nikujulishe tu kuwa PSG ni team ndogo sana kwenye UEFA Champions league
Ngoja tuone Mkuu.Watoto wa PSV leo wanafungulia koki
I mean it ,ushindi chini ya goli 4 sitafurahi
This is our year ,hawa watoto hawatakiwi kupiga zaidi hata ya passes 7