Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Goli 61Messi anaongoza magoli UCL🙂🙂
Goli 61Messi anaongoza magoli UCL🙂🙂
Mambo yake hayo
Mambo yake hayo
Sio yule mfunga rebounds
Huyu dembele kawa mtamu hiviiii
ila Suarez anaweza kutuangusha. Kaisha balaa.Blaugranes Hoyee...
King Anaondoka na Mpira.. Jamaa anaeza kuwa Jini ase.. Mliona ile Clip anaahidi kuwa UCL lazima wailete Home?.. Anatimiza Ahadi
ila Suarez anaweza kutuangusha. Kaisha balaa.