FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ovi barcelona inavoangaika na kina rabioti awa wachezaji wa nini unajua benchi la barca saivi ni kubwa sana na naona kama wamesahau shughuli ya dogo denis suarez...kwanini barca itafute kiungo mwingne akati adi sahivi benchi liko ivi rafinha,vidal,d.suarez,arhur na apa kuna dogo anaitwa r.puig anajinoa noa...mi naona tu kocha atafute mbinu nzuri ya barca kucheza mpira mzuri...uwepo wa busqet,coutinho na raktic ni mzuri sana wacha wazoeane itakuwa poa na sio kulundika wachezaji wengine maana apa kwa d.suarez naona ana kazi ya kuanza maana kwa arthur,vidal na rafinha kazi ipo ila d.suarez ni mzuri sana iwapo naye akapewa muda mwingi uwanjani...uyo d.suarez akiachiwa am sure barca itamkumbuka ka ilivo kwa alcantara
 
Huyu forwrd ea Girona Lozano colon. Msimu uliopita alikuwa anapiga barca B. wamoto kishenzi. naona Madrid ulimi nje.Nafikiri mambo ya uraia yalizingua ila ni mkali kushinda wakina Munir.
 
Wakuu timu yangu Barca msimu itakosa mvuto kabisa. Hata ukicheki ligi yenyewe imepooza sana haina ile hamasa kama ile ya mwanzo.

Hata Messi atakosa mvuto maana yeye alikuwa anatembelea sana nyota ya Ronaldo Cr7.

Kila alipotajwa Messi basi Cr7 na yeye alitajwa. Sasa saiv Messi hana wa kum kompiti tena, labda Real wasajil mutu kama Neymar Jr ambaye anaweza kurudisha amsha amshaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi haitaji mvuto wowote, achana na waliozoea mvuto. Messi yeye anapiga kazi uwanjani anafunga na kutengeneza assist.
Yani kitu ambacho hamkijui Laliga ni kubwa kwa sababu ya Barca na Madrid saizi na ATM.
Ngoja ianze UEFA ndo muone ubora wa La Liga nyie bakini na kusema mvuto ( kizuri chajiuza)

Inaonekana umeanza kuishabikia mpira Neymoney alipojiunga Barcelona
The rise of Messi msimu wa 2008/2009 ndio ilipelekea hadi Penaldo ahame ligi amafuate King Leo kule Laliga na ameendelea kuwa kweny kivuli hadi anaondoka kwenda juve
 
Messi haitaji mvuto wowote, achana na waliozoea mvuto. Messi yeye anapiga kazi uwanjani anafunga na kutengeneza assist.
Yani kitu ambacho hamkijui Laliga ni kubwa kwa sababu ya Barca na Madrid saizi na ATM.
Ngoja ianze UEFA ndo muone ubora wa La Liga nyie bakini na kusema mvuto ( kizuri chajiuza)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure. Ambao wamezoea kushangilia watu (fanboys) na si mpira mzuri wataona ligi imekosa amshaamsha. Lakini tuliozoea ligi yetu tunaenjoy mpira mzuri wa Girona, Huesca et al.
 
Wakuu timu yangu Barca msimu itakosa mvuto kabisa. Hata ukicheki ligi yenyewe imepooza sana haina ile hamasa kama ile ya mwanzo.

Hata Messi atakosa mvuto maana yeye alikuwa anatembelea sana nyota ya Ronaldo Cr7.

Kila alipotajwa Messi basi Cr7 na yeye alitajwa. Sasa saiv Messi hana wa kum kompiti tena, labda Real wasajil mutu kama Neymar Jr ambaye anaweza kurudisha amsha amshaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia imemfahamu his majesty Leonel Andres Messi wakati Ronaldo bado anahangaika old trafford.

Hajawahi kuhitaji mvuto wa mtu mwingine, na haitokaa itokee ategemee mvuto wa mwanasoka mwingine!

Kelele kama hizi tulizisikia wakati Xavi anastaafu, zimesikika wakati Iniesta anastaafu pia. Messi bado ni yule yule mwanadamu wa ajabu mwenye kutenda miujiza ya soka pale Camp Nou (The football Cathedral).

Stay calm, and watch Messi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu timu yangu Barca msimu itakosa mvuto kabisa. Hata ukicheki ligi yenyewe imepooza sana haina ile hamasa kama ile ya mwanzo.

Hata Messi atakosa mvuto maana yeye alikuwa anatembelea sana nyota ya Ronaldo Cr7.

Kila alipotajwa Messi basi Cr7 na yeye alitajwa. Sasa saiv Messi hana wa kum kompiti tena, labda Real wasajil mutu kama Neymar Jr ambaye anaweza kurudisha amsha amshaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
  1. barcelona haikosi mvuto kwa sababu barcelona ilikuwepo kabla ya cristiano ronaldo hajaanza kuwa na six pack.
  2. laliga imerudi kwenye hali yake ya kawaida kama ilivyokuwa miaka 10 iliopita
  3. kuna watu waliutumia uwepo wa ronaldo na messi kwenye la liga kama ni njia moja ya kujitengenezea fedha na umaarufu, sasa hawa ndio wanaisoma namba kipindi hiki kwa sababu yule mpenda kelele ameshaondoka na amebaki huyu asiye na muda wa kupigishana kelele na wazembe wa nje ya uwanja.
  4. kwenye miaka 10 hii ya laliga messi amebeba kiatu mara 5 na ronaldo kabeba kiatu mara 3, kama ameshindwa ronaldo kupambana na messi ataweza neymar?
  5. madrid wanapaswa wakafukue makaburi ya telmo zara, di stefano alfred na hugo sanchez kwa sababu hao ndio pekee wanaweza kuja kupambana na messi ila kwa wachezaji hawa wapaka poda watasubiri sana.
960.jpg
 
Safi sana, uchambuzi murua.. Hebu muambie tangu Ronaldo aje La Liga kabeba kombe la UCL mara ngapi na Messi mara ngapi.!!!
 
  1. barcelona haikosi mvuto kwa sababu barcelona ilikuwepo kabla ya cristiano ronaldo hajaanza kuwa na six pack.
  2. laliga imerudi kwenye hali yake ya kawaida kama ilivyokuwa miaka 10 iliopita
  3. kuna watu waliutumia uwepo wa ronaldo na messi kwenye la liga kama ni njia moja ya kujitengenezea fedha na umaarufu, sasa hawa ndio wanaisoma namba kipindi hiki kwa sababu yule mpenda kelele ameshaondoka na amebaki huyu asiye na muda wa kupigishana kelele na wazembe wa nje ya uwanja.
  4. kwenye miaka 10 hii ya laliga messi amebeba kiatu mara 5 na ronaldo kabeba kiatu mara 3, kama ameshindwa ronaldo kupambana na messi ataweza neymar?
  5. madrid wanapaswa wakafukue makaburi ya telmo zara, di stefano alfred na hugo sanchez kwa sababu hao ndio pekee wanaweza kuja kupambana na messi ila kwa wachezaji hawa wapaka poda watasubiri sana.
960.jpg

King Messi, ni mmoja tu duniani, hahaa wengine wakasome!
 
Wakuu timu yangu Barca msimu itakosa mvuto kabisa. Hata ukicheki ligi yenyewe imepooza sana haina ile hamasa kama ile ya mwanzo.

Hata Messi atakosa mvuto maana yeye alikuwa anatembelea sana nyota ya Ronaldo Cr7.

Kila alipotajwa Messi basi Cr7 na yeye alitajwa. Sasa saiv Messi hana wa kum kompiti tena, labda Real wasajil mutu kama Neymar Jr ambaye anaweza kurudisha amsha amshaa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Neimar!!! Huyu neibishoo wa psg!!! Ronaldo amemshindwa King Messi, ataweza Neimar!!!! Ni bora abakie kule kule kwenye ligi yao ya mchangani akija spain ataibika....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom