Ahame aende wapi ashawaambieni yeye atastaafia pale na sasa yuko kwenye maandalizi ya kua kocha wa Lamasia Cantera ,anapiga papers now yuko level za juu sana after Johan Cruyff yeye ndio the next bingwa wa mastery of tick tacka styleSiku messi akihama Barcelona basi team yenu inakuwa ya kawaida sana
Kama wenzenu real madrid
E&K
Sure passes za Messi zina wa expose sana aisee huyu jamaa huu mguu wa kushoto lazima kutakua na brain tissuesDembele na Suarez kati ya goli kumi wanapata moja. Wanataka kuwa kama Benzema.
Sure passes za Messi zina wa expose sana aisee huyu jamaa huu mguu wa kushoto lazima kutakua na brain tissues
Dembele amefunga kutokea kulia. naona kama Messi kaingia kati Dembele karudi kulia na Suareza wamemtupa winger ya kushotoHT, Villa 0-0 Barca
Dembele amefunga kutokea kulia. naona kama Messi kaingia kati Dembele karudi kulia na Suareza wamemtupa winger ya kushoto
Dembouz akiwa kulia huwa anafanya poa sana.
Ila VAR imetuokoa mkuu. Hawa madogo dk kama 15 za mwisho wamewasha moto siyo wa kawaida.Kwa kweli Barça inacheza hovyo Sana kwenye kiungo. Yaani tunasubiri msaada wa VAR. Valvede hii timu kaiharibu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wanacheza ujinga mtupu, coach anashindwa kuwatumia wachezaji wake. Suarez amekuwa mzigo kwake, barca ambayo naamini itafanya vzr ni ya coutinho, messi na dembele (left-right). Kama ataendelea kuwa na Suarez kama hivi basi hatufiki mbali. Angalau amtumie huyu dogo Malcom, pia sijaona mpira wa VidalKwa kweli Barça inacheza hovyo Sana kwenye kiungo. Yaani tunasubiri msaada wa VAR. Valvede hii timu kaiharibu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi wa goli moja bila unatosha
Kocha akarekebishe kule mbele