Ila VAR imetuokoa mkuu. Hawa madogo dk kama 15 za mwisho wamewasha moto siyo wa kawaida.
Yaani jana idara zote tumecheza chini ya kiwango sana. Madogo walikuja na game plan ya ki-Roma Roma na walifanikiwa kututoa mchezoni hasa kipindi cha pili. Nilitamani pale kati Vidal aingie mapema kidogo kama dk ya 60 hivi huenda pangetulia. Kifupi sub zilipaswa zifanyike mapema sana. Yaani jana tulicheza soka la kuboa kupita......Katikati pako clouded
Messi leo ana play make sana kuna need ya Coutinho ku advance mbele halafu Messi aletwe ku play deep ,Dembele kama kawaida acheze left na S.Roberto apandishe sana right flank hapo Suarez atapata magoli
Kuna shida ya coordination ya front line na mifielders -Velverde arekebishe hili
Unazingua wewe kama Gigy money lile goli la pili tulilofunga waka rule out na VAR unajitoa ufahamu haukulionaNa bila VAR sijui ingekuwaje
Barca ya leo inategemea VAR
E&K
Los Blancos Laliga watalisikia tu kwenye bomba miaka 10 ijayoila kiukweli VAR inasaidia sana. Msimu juzi tulikosa ubingwa kwa mambo ya maoffside.
Ingekuwa 1-2Na bila VAR sijui ingekuwaje
Barca ya leo inategemea VAR
E&K
Unazingua wewe kama Gigy money lile goli la pili tulilofunga waka rule out na VAR unajitoa ufahamu haukuliona
With VAR tambua kabisa laliga na Uefa Real Madrid watakua wanalisikia kwenye bomba tu
mimi sina ushabiki na madrid mkuu Madrid pamoja na kushinda UEFA mara tatu bado ni wateja wetu tu au umesahau?![]()
mimi sina ushabiki na madrid mkuu
Najaribu kuangalia hii vita yenu na mwenzio madrid
Ila jana mlishikwa mkashikika
E&K
Sawa yetu macho kama uefa inarudi tena spainMadrid pamoja na kushinda UEFA mara tatu bado ni wateja wetu tu au umesahau?
Huu ni mwaka wa UEFA kurudi nyumbani Camp Nou
Suarez hakuna tena kufunga amezoea kuotea shabashi, mjiandae vizuriLos Blancos Laliga watalisikia tu kwenye bomba miaka 10 ijayo
We lazima ujilinganishe na baba yako? Huwezi andika kitu lazima uiandike Madrid pole dogoMadrid pamoja na kushinda UEFA mara tatu bado ni wateja wetu tu au umesahau?
Huu ni mwaka wa UEFA kurudi nyumbani Camp Nou