FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Umemsahau last season alianza hivi hivi?soon atawa surprise halafu niwapeni tip tu amepungua uzito so wepesi umeongezeka
Yeah! Hilo sipingi Mkuu. Suarez ni dizain ya wachezaji wenye njaa na uwezo kufunga magoli ktk mazingira magumu. Suarez ni kariba ya wachezaji kama Diego Costa. Naamini ataanza kufunga tena mapema muno kushinda msimu uliopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Problem:Messi he is not patient akiona mipira haifiki kwake so lazima tu atakuja deep kudanya play making(kama unakumbuka game ya Argentina vs France alicheza fake 9) however hiyo ni moja ya alternative but tusiwe kama Madrid kila siku tunataka mchezaji a deliver nikuulize swali kwa mfano umeambiwa umchague Benzema na Suarez una pick nani?
Lakini mkuu hii ya Suarez kuunderperform haijaanza msimu huu. Ni muendelezo wa form yake ya last season. Jamaa hayupo vile alikuwa misimu mitatu nyuma. Ni wakati wa kusaka striker.
 
Magoli 6000 ya FC Barcelona katika La Liga.
:
6000 - Barcelona's goals in La Liga:

1 - Manuel Parera 1929
1000 - Marcos Aurelio 1950
2000 - Pedro Tomas Zaballa 1964
3000 - Quini 1982
4000 - Guillermo Amor 1996

5000 - KING MESSI 2009
6000 - KING MESSI 2018
 
Yesterday match

First goal,. Messi
1534674702393.gif
 
Mimi naona Barca impange Messi ile nafasi ya suarez, wing ya kulia akae Dembele na kushoto Coutinho.
Asiee mawazo yako na mm yanaendana hapa, ile match ya jumamosi ilivyo isha nikawa nawaza hivi. Hii itasaidia kufanya Dembele awe comfortable kwenye nafasi hii RW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asiee mawazo yako na mm yanaendana hapa, ile match ya jumamosi ilivyo isha nikawa nawaza hivi. Hii itasaidia kufanya Dembele awe comfortable kwenye nafasi hii RW

Sent using Jamii Forums mobile app
Dembele sio mbaya, apate tu muda wa kucheza kila wakati ktk position aliyoizoea walau ataonesha makali yake zaidi.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mmesikia?


PSG wanawataka Busquets na Rakitic!!!!

Tena huyu Rakitic ndio wamemweka kipaumbele kumsajiri hizi siku zilizobaki na wamemwahidi kumlipa mara mbili ya mshahara anaolipwa

Sent from using Tapatalk
U
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom