FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Alafu kakosa goli kwa mguu wa kulia, angepiga na kushoto ilikuwa Chuma hiyo. Sijajua kwanini kalazimisha kupiga na kulia wakati pasi ilikuja vizuri upande wa mguu wa kushoto.Dembele winger ya kushoto inamsumbua. Anapoteza sana pasi.
Na kazingua kwel yanDah, mkui kikosi cha msimu huu ni hatari sana. Ujio wa Malcom, arthur, lenglet na Vidal umefanya benchi letu liwe safi sana. leo hao wote wameitwa na majembe yale ya zamani. Nafikiri Ulaya hakuna kikosi bora kama chetu. Labda Suarez aanze kuzingua, maana kwa striker pekee ndiyo naona kuna walakini kidogo.
MkuuSuarez yuko fit mwaka huu kushinda hata last season
Mark my word utaniamini ninachokuambia ni suala la muda tu
Mkuu
Kipi unatarajia kwa suarez labda ambacho kitakuwa cha maana saaaaaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona Barca impange Messi ile nafasi ya suarez, wing ya kulia akae Dembele na kushoto Coutinho.Suarez keshaisha. It’s high time Barca find his successor
PointMimi naona Barca impange Messi ile nafasi ya suarez, wing ya kulia akae Dembele na kushoto Coutinho.
Ni kawaida yake he is good at positioning but haikua siku yakeSuarez looks frustrasted. Ana hamu ya goli.
Kuna kipindi mchezaji aki underperform ndio time ya kumfanyia patronage especially kwa ma legend kama hawa ambao wanatupatia ushindiMkuu
Kipi unatarajia kwa suarez labda ambacho kitakuwa cha maana saaaaaana
Sent using Jamii Forums mobile app
We unapoona wachezaji hadi anaocheza nao kila siku haachi kuwashangaza ndio utajua Messi ni naniHilo goli La faulo la Messi tamuu sana, na last season alipga la hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Problem:Messi he is not patient akiona mipira haifiki kwake so lazima tu atakuja deep kudanya play making(kama unakumbuka game ya Argentina vs France alicheza fake 9) however hiyo ni moja ya alternative but tusiwe kama Madrid kila siku tunataka mchezaji a deliver nikuulize swali kwa mfano umeambiwa umchague Benzema na Suarez una pick nani?Mimi naona Barca impange Messi ile nafasi ya suarez, wing ya kulia akae Dembele na kushoto Coutinho.
Kweli kabisa MkuuSuarez keshaisha. It’s high time Barca find his successor
Umemsahau last season alianza hivi hivi?soon atawa surprise halafu niwapeni tip tu amepungua uzito so wepesi umeongezeka