FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hao wapuuzi ndio walimnunua Paulinho tukasema hafai kuchezea Barca now wamekubali walikosea wamemrudisha China

Dembele tangu amesajiliwa hajacheza hata mechi 10 mfululizo baada ya kupona anahitaji game time kurudisha confidence na ilitegemewa Deschamps angempa nafasi kwenye WC lakini hakumpa . Dembele ni 4th expensive players in the world so pressure ni kubwa sana kwake ili ku-justify pesa aliyonunuliwa
Daaaah unataka uniambie Paulitho alifeli Barca, labda tumetofautiana jinsi ya kuangalia.
Ila Mimi ninachojua ni kwamba Paulitho amependa mwenyewe kuondoka pale, kwa kiwango alichocheza barca uwezi sema kafeli.
Ndo mana saizi inasemekana Valverde hajafurahishwa kumuachia Paulitho
 
Barca wanafeli sana kwenye usajili uyu malcom sijui kaletwa wa nini barcelona....sasahivi barca imekuwa timu ya kukuza vipaji na sio kuimarisha timu kuchukua uefa...barca ina dembele inatosha pale kati tuwape muda kina denis suarez na sergi roberto ajaribu kuingia kwa bosquet ...wangekomaa hawa barca 2narudi kwenye form...usajili wa malcom umenipa hasira tu sizani kama tutakuwa na maelewano mazuri na roma tukitaka mchezaji wao uko mbeleni pia usajili wa uyu mtu ni wa kiboya nimemcheki uyo malcom wa kawaida sana anawezakucompete na dembele ka dembele akiwa kwenye low form ila kwenye top form hamgusi ata kidogo..barca ingetakiwa kusajili mchezaji kama hazard ule upande wa kulia au namba tisa nyngne changa yenye uwezo iwe mbadala ya suarez na sio ujinga huu wanaoufanya...barcelona inafeli sana kwenye usajili siku izi..tangu msimu wa 2014 baada ya kna suarez,rakitiki na neymar hamna usajili mwingine mzuri zaidi ya coutinho..labda dembele kwa kuwa akipata nafasi atakuwa mzuri
Daaaaaah mnapigania Dembele kweli kweli. Ila ukweli dembele ameshindwa kukope mfumo wa Barca.
Na asipoangalia huyu malcon atakua anamuweka benchi.
Kingine ambacho wengi hawajua life style ya dembele inamuathiri.
Mana inasemekana ana misimamo hapendi kubadilika, kwanza tuanzie alichofanya Dortmund cha kugomea mazoezi, pili alivyofika Barca, pale kuna vyakula ambavyo wachezaji wanapaswa kula unaambiwa yeye ana violate hiyo styl ya kula.
Tatu hii haithibitishwa alifanya kosa gani akiwa Na ufaransa mana kocha wa Ufaransa wakiwa Russia alimzungumzia Dembele in negative way
Hivyo vitamuaribia carear yake. Afu akubali kubadilika kua dapt mfumo wa Barcelona si huo wa kutaka kukimbia acheze as a team
 
Afu shida mnaangalia tu kwa sababu yupo Dembele kulia lakini fuatilieni vizr magoli mengi ya Barcelona yamefungu yakitokea kushoto.
Pili mnabeza usajili kwa sababu mnataka msikie majina makubwa,
Ila Mimi nilichokiona na inawezekana ndo plan ya Barca ni kwamba wanataka watengeneze team ambayo itajengwa afu itakaa muda mrefu. Ka kilivyokua kipindi cha akina Xavi.
Ndo mana wanachukua vijana na unakuta wanasajili mkubwa mmoja . Refer usajili wa mwaka huu, kingine mwaka jana Barca ilizungukwa na wakubwa tu
 
Daaaah unataka uniambie Paulitho alifeli Barca, labda tumetofautiana jinsi ya kuangalia.
Ila Mimi ninachojua ni kwamba Paulitho amependa mwenyewe kuondoka pale, kwa kiwango alichocheza barca uwezi sema kafeli.
Ndo mana saizi inasemekana Valverde hajafurahishwa kumuachia Paulitho
Paulinho hafit kwenye uchezaji wa Barcelona
 
Daaaaaah mnapigania Dembele kweli kweli. Ila ukweli dembele ameshindwa kukope mfumo wa Barca.
Na asipoangalia huyu malcon atakua anamuweka benchi.
Kingine ambacho wengi hawajua life style ya dembele inamuathiri.
Mana inasemekana ana misimamo hapendi kubadilika, kwanza tuanzie alichofanya Dortmund cha kugomea mazoezi, pili alivyofika Barca, pale kuna vyakula ambavyo wachezaji wanapaswa kula unaambiwa yeye ana violate hiyo styl ya kula.
Tatu hii haithibitishwa alifanya kosa gani akiwa Na ufaransa mana kocha wa Ufaransa wakiwa Russia alimzungumzia Dembele in negative way
Hivyo vitamuaribia carear yake. Afu akubali kubadilika kua dapt mfumo wa Barcelona si huo wa kutaka kukimbia acheze as a team
wewe una mawazo kama ya kwangu. Dembouz kashindwa kuendana na style ya Barcelona (tik-taka) hasa ktk uwezo wa kukaa na mpira, utoaji wa pasi na kufanya maamuzi. Huyu akienda EPL hakuna shaka lazima ang'ara tu.

Inawezekana kweli kwamba anahitaji kupewa muda zaidi wa kucheza ili aweze kuielewa tik-taka lakini kwakuwa mpira sasa niwa ushindani, barca haijafanya kosa kumleta mbrazili huyu, Malcom.

Kati ya changamoto kubwa ambayo tumekuwa nayo Barcelona tangu msimu wa 2016 ni kutokuwa na benchi la uhakika. Na kama mnakumbuka AS Roma walitupiga UCL second leg kwa 7bu wachezaji walikuwa wamechoka (fatigue) sana na huwezi kumlaumu sana kocha eti kwanini alichezesha kikosi kilekile?? swali angechezesha kikosi kipi ili hali kulikuwa hakuna wachezaji wa kuaminika.

Kifupi, nawasihi tusubiri msimu huu uanze hakika Barca ya sasa tutaipenda wenyewe maana kocha anarudi ktk mfumo wetu wa 4-3-3 unaolipa zaidi wa tik-taka. Hata hivyo Barca inaamini sana ktk wachezaji wa kibrazil kwa 7bu hutumia muda mfupi tu kuzoea mfumo wa tik-taka kwakua style ya mpira wa Brazil unafafana sana na wa Barca.
 
Last edited:
Daaaaaah mnapigania Dembele kweli kweli. Ila ukweli dembele ameshindwa kukope mfumo wa Barca.
Na asipoangalia huyu malcon atakua anamuweka benchi.
Kingine ambacho wengi hawajua life style ya dembele inamuathiri.
Mana inasemekana ana misimamo hapendi kubadilika, kwanza tuanzie alichofanya Dortmund cha kugomea mazoezi, pili alivyofika Barca, pale kuna vyakula ambavyo wachezaji wanapaswa kula unaambiwa yeye ana violate hiyo styl ya kula.
Tatu hii haithibitishwa alifanya kosa gani akiwa Na ufaransa mana kocha wa Ufaransa wakiwa Russia alimzungumzia Dembele in negative way
Hivyo vitamuaribia carear yake. Afu akubali kubadilika kua dapt mfumo wa Barcelona si huo wa kutaka kukimbia acheze as a team
wewe una mawazo kama ya kwangu. Dembouz kashindwa kuendana na style ya Barcelona (tik-taka) hasa ktk uwezo wa kukaa na mpira, utoaji wa pasi na kufanya maamuzi. Huyu akienda EPL hakuna shaka lazima ang'ara tu.

Inawezekana kweli kwamba anahitaji kupewa muda zaidi wa kucheza ili aweze kuielewa tik-taka lakini kwakuwa mpira sasa na wa ushindani, barca haijafanya kosa kumleta mbrazili huyu, Malcom.

Kati ya changamoto kubwa ambayo tumekuwa nayo Barcelona tangu msimu wa 2016 ni kutokuwa na benchi la uhakika. Na kama mnakumbuka AS Roma walitupiga UCL second leg kwa 7bu wachezaji walikuwa wamechoka (fatigue) sana na huwezi kumlaumu sana kocha eti kwanini alichezesha kikosi kilekile?? swali angechezesha kikosi kipi ili hali kulikuwa hakuna wachezaji wa kuaminika.

Kifupi, nawasihi tusubiri msimu huu uanze hakika Barca ya sasa tutaipenda wenyewe maana kocha anarudi ktk mfumo wetu wa 4-3-3 unaolipa zaidi wa tik-taka. Hata hivyo Barca inaamini sana ktk wachezaji wa kibrazil kwa 7bu hutumia muda mfupi tu kuzoea mfumo wa tik-taka kwakua style ya mpira wa Brazil unafafana sana na wa Barca.
 
Afu shida mnaangalia tu kwa sababu yupo Dembele kulia lakini fuatilieni vizr magoli mengi ya Barcelona yamefungu yakitokea kushoto.
Pili mnabeza usajili kwa sababu mnataka msikie majina makubwa,
Ila Mimi nilichokiona na inawezekana ndo plan ya Barca ni kwamba wanataka watengeneze team ambayo itajengwa afu itakaa muda mrefu. Ka kilivyokua kipindi cha akina Xavi.
Ndo mana wanachukua vijana na unakuta wanasajili mkubwa mmoja . Refer usajili wa mwaka huu, kingine mwaka jana Barca ilizungukwa na wakubwa tu
Kweli kabisa Mkuu
 
Am back
Am fully back
Thanks very much kwa tour ,nilikua nafuatilia karibu kabisa transfer window na WC ,kama Barca Fan na declare interest tulifanya mistake kumuachia Paulinho atoke muda huo bado tuna pengo la midfield so i hope siku chache zilizobaki Segura ,Abidal watafanya mambo the best options should be
Nzonzi,Moreno au big name from England(kama short term solution) but players wao wana inflate bei huyu Rabiot ningependa aje ila waarabu wana roho mbaya sana hawawezi kutuachia
Meanwhile ningependa team ifanye usajiri wa winger wa kushoto awe matured (big name) kama short term solution

Nilikua naangalia kikosi changu B wakati kinacheza na Tot nimegundua Rafinha asiende tena intermilan kwa jinsi team ilivyo sasa hivi he can fit left wing (to add options)
Officially natangaza tu huu ndio mwaka wa treble mark my word
 
Kwa nn mwaka huu ndio uwe wa treble na sio mwaka Jana(msimu uliopita)?
 
Mkuu umemuona Arthur alivyokua ana control dimba pale kati, akina Eriksen aliwapoteza, hata sare waliopata ndani ya 90 kwa sababu alifanya sabu timu nzima na kuwaweka wale wadogo.
Ila wameonesha ufundi kwenye penati.
Left winga Malcon anatosha sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom