FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu umemuona Arthur alivyokua ana control dimba pale kati, akina Eriksen aliwapoteza, hata sare waliopata ndani ya 90 kwa sababu alifanya sabu timu nzima na kuwaweka wale wadogo.
Ila wameonesha ufundi kwenye penati.
Left winga Malcon anatosha sana,
Yeah wana DNA ya Barca

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Am back
Am fully back
Thanks very much kwa tour ,nilikua nafuatilia karibu kabisa transfer window na WC ,kama Barca Fan na declare interest tulifanya mistake kumuachia Paulinho atoke muda huo bado tuna pengo la midfield so i hope siku chache zilizobaki Segura ,Abidal watafanya mambo the best options should be
Nzonzi,Moreno au big name from England(kama short term solution) but players wao wana inflate bei huyu Rabiot ningependa aje ila waarabu wana roho mbaya sana hawawezi kutuachia
Meanwhile ningependa team ifanye usajiri wa winger wa kushoto awe matured (big name) kama short term solution

Nilikua naangalia kikosi changu B wakati kinacheza na Tot nimegundua Rafinha asiende tena intermilan kwa jinsi team ilivyo sasa hivi he can fit left wing (to add options)
Officially natangaza tu huu ndio mwaka wa treble mark my word
Karibu sana Mkuu
 
Kwa nn mwaka huu ndio uwe wa treble na sio mwaka Jana(msimu uliopita)?
Kikosi kiko very strong tunaingia very determined added advantage kocha ameshaeleweka ,replacements ni nyingi na za uhakika so wachezaji wa first team hawatakua na match fatique kama ilivyotokea siku tunacheza na AC Roma

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ndio Mkuu Shuguli za Hapa na Pale zilitubana vipi Mkuu Mwekundu yupo??
Mwekundu nae kareje hivi maleo tu. Naona wengi wetu tulipotea sana. Karibuni, msimu ndo huo unarejea, tutegeme soka la kuvutia kupita msimu uliopita maana tulikuwa tunashinda bila mvuto aisee...!!!
 
Mwekundu nae kareje hivi maleo tu. Naona wengi wetu tulipotea sana. Karibuni, msimu ndo huo unarejea, tutegeme soka la kuvutia kupita msimu uliopita maana tulikuwa tunaahinda bila mvuto aisee...!!!
Yaah pia tumefanya usajili wa Maana kidogo..
 
Nimekua selfish siku hizi sijui ni hivi kuna watoto leo wamecheza wa Barca B ambao ndio walikua majority ya team aisee ni fire..
No 8. Ricard Piug special thanks
Miranda heshima kwake

Wengine nitawataja baadae
 
Mkuu umemuona Arthur alivyokua ana control dimba pale kati, akina Eriksen aliwapoteza, hata sare waliopata ndani ya 90 kwa sababu alifanya sabu timu nzima na kuwaweka wale wadogo.
Ila wameonesha ufundi kwenye penati.
Left winga Malcon anatosha sana,


Arthur Melo wa Moto Sana Aiseee
 
Boss alikuwa na haya ya kusema
IMG_20180730_153409_812.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom