FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Basi anatufaa sana huyu dogo...Anacheza winga yakulia ingawa anatumia mguu wakushoto,pia anafunga magoli mengi akiwa nje ya box,mashuti yake dizaini ya coutinho pia nifundi sana wakuchezea Mpira,pia anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji kwa ufanisi wa hali ya juu.Pia umri wake nimdogo ana miaka 21 tu.
Aje.,,,naisubiri official announcement kwa hamu sana Mkuu...