FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu arthur seems like ameshafika home;yuko very cool and focused he is genius
Malcom ni another Neymar thanks God am sure transfer hii itamfanya hata Dembele a work hard

Cucurella (LB) lamasia el Cantera product ni substitute ya Jord Alba
 
Jamani ni dk ya 16 hapa AC Roma wameshaloweshwa na mpira wameugusa mara mbili tu
Hata commentator anasema AC Roma wako kwenye real trouble
 
Lenglet thanks God yuko very strong and determined yeye amejenga mnara wake nyuma tu kama majukumu yanavyomtaka its a beautiful football jamaa naiona treble this season

Nelson Semedo ni natural RB.kocha velverde nadhani anamfundisha vizuri mastering za ku attack akiendelea hivi legacy ya Dan Alves tunaelekea kuisahau
 
Malcom anawapiga goli la pili hapa asssist kutoka kwa Rafinha tena
Team B inatisha hivi je team A mwaka huu itakuaje?
Madrid get ready dont be scared we coming for you
 
Jamani naweka kumbukumbu sawa na kwa mara nyingine kuna majina ya Barcelona B ambayo siku moja dunia itawatambua
1.Ricard Puig-18 years of age ,midfield katika makuzi yake alikua anampenda sana Xavi
2.Ballou Tabla ana age ya 19 (black ana asili ya Coted de Voire ila ni raia wa Canada)
3.Juan Miranda(midfield - defensive no 6)
4.Marc Cucurella -LB .19 years huyu ameshapata greenlight atachezea kikosi cha kwanza kwakua Lucas Digne anajiunga na Everton so ni substitute ya Jordi Alba ukimuangalia kwa mbali unaweza sema Puyol amerud kama haukuwahi kumuona Puyol enzi zake basi utasema David Luiz wa chelsea amesajiliwa
5.Abel Luiz ni attacker wa left wing anaungana na Jose Aneiz ni promising players
6.Carles Arena ambaye tunamfahamu dogo mfupi very promising anapiga sana key passes na penetrating balls
 
Jamaa in short kikosi chao chote kolarov,El Sharwaay ,Fazio ,Edwin Dzeko etc wamekishusha nimeamini waitaliano wana roho mbaya kinachowaangaisha sisi wanacheza na kikosi B na bado hadi dk ya 77' tumewalowesha
 
Wametumia uzoefu kuwanyoosha madogo
IMG_20180801_070813_145.jpg
 
Arthur ni level nyingne,
Barca board wambakize Rafihna na Munir wamtoe Alcaser Vidal na gomes..
Afu huyu Dembele namuona atakavyokua anasugua benchi kwa Malcon
 
Arthur ni level nyingne,
Barca board wambakize Rafihna na Munir wamtoe Alcaser Vidal na gomes..
Afu huyu Dembele namuona atakavyokua anasugua benchi kwa Malcon
Yeah Mkuu. Ninavyoona hii tour imelenga kutafuta cream itakayoungana na team yetu kubwa. Ndiyo maana kocha anahakikisha wachezaji wote wanapata airtime uwanjani. Kama kawaida new comers (Lenglet, Arthur na Malcom) wanaanza 1st Half alafu mapema 2nd Half wanaingia hawa madogo wa timu yetu ndogo (Barca B).

Mbinu hiyo nimeipenda sana...
 
OFFICIAL: LUCAS DIGNE SIGNS EVERTON.

Barcelona have announced that they have reached an agreement with Everton for the transfer of Lucas Digne

According to the Barcelona, Everton will pay the club 20.2 million euros, plus 1.5 million euros in variables for the French defender.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom