FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

5 more years
IMG_20180603_215149.jpg
 
Mkuu huyu anakuja kufanya nn?
Valverd pia kauliza swali kama lako!!!
Kasema shida ipo kwenye mid hasa baada ya Fundi Iniesta kuondoka. Kwa hiyo anafikiri wangeanza kufanyia kazi eno hilo.

Huenda hata ujio wa Arthur Melo kutoka Gremio msimu huu badala ya January, 2019 nikutokana na ushauri wake ktk Bodi ya usajili.
 
kiukwel hata mbele kwenye attack hatupo vizur mzigo wa kufunga ni wa messi pekee yake,Suarez cyo mtu wa kumtegemea kama misimu 2 iliyopita. Willian atasaidia sana kwenye attack mana anapiga sna nje ya box na ananyumbulika
 
Messi anacheza upande wa kulia, Dembele anacheza upande wa kulia, Willian nae anacheza upande wa kulia.

Hatuna mapungufu kwenye upande huo!

Tunahitaji striker mbadala wa Suarez, tunahitaji winga wa kushoto, na world class midfielder (namtamani Alcantara).

Huyo Willian hatuna uhitaji wa kumsajili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom