FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Moyo wangu umeridhika kijana Dembele atakuwepo Russia, safi sana Deschamps bado anamwamini bwana mdogo
 
Tutajutia TU. endapo hizi rumors zikitokea kweli esp kwa ile loan + option ya kumnunua wanayoitaka
Lkn mm kwa mtazamo wangu naona Grezman hata shine barca kwani upande anao cheza ndio mfalme wa barca anacheza pale. Dembele ni hazina ya baadae umri unamruhusu, Messi hana hata misimu 3 ya kucheza kwa nguvu sana.
 
Press ya leo kasema anaimani na base iliyopo ndio iliyotufikisha hapo, japo hata change sura ya timu ila atafanya usajili kidogo na jicho likiwa kule B squad, sasa anaangalia B squad huku madogo wengine hawapi muda akina denis na Dembele.

Mzee yule basi tuu.. Hadi semedo ana hati hati ya kuuzwa.

King ndio hivyo tena haitazidi misimu mi 3
 
Waaache ujinga asiee, unajua barca Messi akiondoka tunaweza pata shida sana. Inabidi team iaze kuandaliwa upya
 
33027638_10156653789868598_1645377013042642944_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom