FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuna trend naiona sasa hivi kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Wanapiga sana mashuti tokea nje ya box kwa mechi almost tano mfululizo sasa!

Hii itatufaa sana kwa opponents wanaopenda kujaa ndani ya box wakicheza na Barca.

My biggest worry ni ule ukuta. Asee we have a very poor defence. Yerri Mina hana ile outstanding class niliyotegemea. He's average.

Pique is aging up, Umtiti anajisahau sana. Yani kule nyuma wanakaba kwa macho tu!

Kufungwa tano na levante ni ushahidi wa ninachokiongelea. Hata hawa Sociadad hawakua makini tu, wangetuumiza .

Yerri mina na ule urefu wote bado opponents wanapiga free headers in our box, inasikitisha!

The only strong part of our defense ni upande wa kulia. Semedo is absolutely world class.

Mimi nafikiri usajili wa kipindi hiki ujikite kuimarisha defense. Huko mbele tuko vizuri sana na tunajitosheleza. Vijana wapewe muda wa kucheza hasa Dennis, Dembele na Sergi Roberto. Hawa ndio future ya Barca!

Tunahitaji kupitisha fagio kwa akina Gomes, Paco, Vidal and the like.

There is only one way Barca can succeed without Messi. TEAM PLAY!

Hawa madogo wakipewa muda wakatengeneza chemistry, team itakua vizuri sana. Tofauti na hapo, itatubidi tuendelee kutegemea miujiza ya La Pulga!

Umtiti, Semedo, Roberto, Coutinho, Dembele, Dennis, na wazee wachache wakiwasaidia tutakua na team nzuri sana hapo baadae.

Sioni umuhimu wa kumsajili Griezman!
 
Sure
 
Napingana na wewe greizman naona umuhimu wake Suarez ameshazeeka mkuu
 
We have La Masia, the best academy in the planet!

Ni muhimu madogo wapewe nafasi ya kucheza, hii culture ya kununua wachezaji ndio inayoua makali ya Barcelona!
 
Ondoa izo brainwashed thoughts about Lamasia tunatalent kama Denis lakini inataabika benchi how about hao watoto wako wa Lamasia?

Hatuitaji kufanya majaribio ya kitoto hivyo mkuu
We need a world class player .
OVER.
 
Hapo la masia ndo walipopatikana kina arteta, so utapata avarege player tu..ukitaka worldclass fungua pochi
 
Ondoa izo brainwashed thoughts about Lamasia tunatalent kama Denis lakini inataabika benchi how about hao watoto wako wa Lamasia?

Hatuitaji kufanya majaribio ya kitoto hivyo mkuu
We need a world class player .
OVER.
Nashukuru umetambua kua dennis ana talent, sasa nini maana ya kua na talent then hauitumii unaenda kusajili watu wengine ambao wanaweza kuja wakaflop?
 
Kama Denis ni talent na ni mchezaji mzoefu hapewi nafasi how about José arnaiz?
 
Kwahiyo mkuu, kwakua dennis ni talent ila hapewi nafasi basi ni sawa tu na hawa wengine akina Arnaiz wasipewe nafasi?

Je, kuna sababu gani za msingi za kutokupewa nafasi?
 
Sababu anaejua zaidi yao hapewi nafasi ndyo maana huoni hata Carlos Alena akiitwa first team sababu sometimes Denis anaachwa as a reserve player
 
Maisha Mapya
IMG_20180524_150021.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom