FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mchizi alikua loan kumbe, labda ndio maana wanamleta willian
IMG-20180708-WA0023.jpg
 
Willian nacheza wing ya kulia mkuu, au mimi ndo sielewi?
Barcelona are reportedly keen on the Chelsea wingerTransfer consultant Ian McGurry reckons that Willian is the strengthening Barca need

"The club leading the chase for Willian is Barcelona," t Ian McGarry revealed on the latest episode of The Transfer Window Podcast.

"Messi and Suarez have complained to coach Ernesto Valverde that they are weak on the right-hand side and need more creativity, someone who delivers the ball quickly into the centre of the pitch so they can do their thing.
 
tunatakiwa tutafute midfielders wa kuziba nafas za iniesta na paulihno tumebakiwa na watu wa maana 3 in the midle, sergio, philipe na ivan waliobak wote ni magarasa sergio na ivan tayar wana 30 yrs wapo katika wrong age
Arthur Melo (kutoka Gremio) tayari ndani ya nyumba, ana miaka 21. inadaiwa kuwa ni Kariba ya Iniesta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom