FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Japo mmeshindwa kuweka historia yan mmekula mbuz mzma mmeshindwa kumalizia mkia au wachezaji wenu nao wanabet nn maana Jana mhindi wamemtajirisha sana.
 
Kocha alifanya makosa sana, atamwachaje Messi10 kwa 7bu za kidwanzi namna ile??? Eti alipumzishwa kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Mamelod Sundowns ya South Africa !!!!

Hapa kocha alionesha udwanzi wa kiwango cha PhD. Hata hivyo, alichokuwa anakitafuta alikipata !!!!
 
Messi: “Real Madrid’s recent Champions League success? They get it done, sometimes by playing badly. For us, we have to always be superior to our rivals to win.” [tyc]
 
Messi at @TyCSports: "It would be terrible to see Neymar at Real Madrid for everything he meant for Barcelona. It would be a big blow for all the fans". [HASHTAG]#fcb[/HASHTAG]
 
Kimya sana humu jamani.....mechi na timu ya uko SA imesishia tumeshinda 3-1 dembele,suarez na gomez wakifunga
 
Kocha alifanya makosa sana, atamwachaje Messi10 kwa 7bu za kidwanzi namna ile??? Eti alipumzishwa kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Mamelod Sundowns ya South Africa !!!!

Hapa kocha alionesha udwanzi wa kiwango cha PhD. Hata hivyo, alichokuwa anakitafuta alikipata !!!!

Ukizingatia mamelod haina umuhimu wowote kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom