Yeah dogo asiuzwe aisee! Tutakuja kujuta zaidi tukimuuza kuliko baadhi ya watu tunavyolaumu sasa. Akienda huko ataenda kuwaka ile mbaya.Dembele ameonesha uwezo mkubwa ili kuwafunga midomo mnaombeza na muondoe mawazo ya kumuuza wala kupeleka kwa mkopo sijui wapi
Ndio maana hata hajashangilia alivyofunga magoal
Amewakata ngebe wanaobezaDembele ameonesha uwezo mkubwa ili kuwafunga midomo mnaombeza na muondoe mawazo ya kumuuza wala kupeleka kwa mkopo sijui wapi
Ndio maana hata hajashangilia alivyofunga magoal
Yeah dogo asiuzwe aisee! Tutakuja kujuta zaidi tukimuuza kuliko baadhi ya watu tunavyolaumu sasa. Akienda huko ataenda kuwaka ile mbaya.
Yeah MkuuAtaenda kuwaka kama moh salaa...wamwache aise.
So you wish even pope to die because of your football motives.? Ooh pope have a long life.
I wish Ronaldo to recover as soon as possible, please you have a job to Finnish in Kiev.
Daah ile assist ya Maestro Iniesta kwa King Leo Messi sio ya Dunia hii
Kwanza mi nimekaa nimeiangalia karibia Mara kumi. Ila bado sijaelewa, mana Messi alivyourudisha mpira kwa Iniesta akataka kama kusimama gafla aka react kukimbia, Iniesta nae aka react kwa kuuchopu mpira juu ya mabeki na kumkuta The King Messi nae akamchop yule kipa.Daah ile assist ya Maestro Iniesta kwa King Leo Messi sio ya Dunia hii
Yaan ni kama akili zao zina connect ya pamoja walifikiria kwa pamojaKwanza mi nimekaa nimeiangalia karibia Mara kumi. Ila bado sijaelewa, mana Messi alivyourudisha mpira kwa Iniesta akataka kama kusimama gafla aka react kukimbia, Iniesta nae aka react kwa kuuchopu mpira juu ya mabeki na kumkuta The King Messi nae akamchop yule kipa.
Ila messi na Iniesta wanatabia mbaya sijui walijua kua Dembele atafunga goli nzuri, wakaamua kumuonyesha kua wao ndo Magenius wa mpira
Bado nawaza tu!
Daah ile assist ya Maestro Iniesta kwa King Leo Messi sio ya Dunia hii
Kwanza mi nimekaa nimeiangalia karibia Mara kumi. Ila bado sijaelewa, mana Messi alivyourudisha mpira kwa Iniesta akataka kama kusimama gafla aka react kukimbia, Iniesta nae aka react kwa kuuchopu mpira juu ya mabeki na kumkuta The King Messi nae akamchop yule kipa.
Ila messi na Iniesta wanatabia mbaya sijui walijua kua Dembele atafunga goli nzuri, wakaamua kumuonyesha kua wao ndo Magenius wa mpira
Bado nawaza tu!
Daah ile assist ya Maestro Iniesta kwa King Leo Messi sio ya Dunia hii