FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nikweli kabisa
 
This is unfair knock out mwaka jana walipotutoa Juventus niliridhika sana na matokeo but not this
Velverde huyu anafikiria low sana yeye kama Mourinho anakaba tu...ndo maana hata team ndogo tunapata ushindi kwa tabu sana
This is not a good trend

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Tetesi: Jamaa yenu PNC 1 amejinyonga ila hajafa!
 
Namuonea huruma sana The King,, hakupaswa kuwa na michezaji ya hovyo pale....in short wanamuangusha sana Messi!
 
mmh Numbisa wewe sio yule mtangazaji wa Azam? ulivoandika kama naisikia ile sauti yake
 
Mashabiki wa barca wanashangaza kweli,kitendo cha messi kuwa genius wa mpira na timu kucheza vyema basi wanadhani wao ndio wanajua kuuchambua mpira kuliko mashabiki wa timu nyingine.
Poleni wakuu,hata mie nimeumia kwa ajili ya LM10.
huyo mesi wenu jana mliona alivozibitiwa,,


CRISTIANO RONALDO ,, TUZO Inakuhusu Mzee baba, mzime huyo Messi wao,, chukua na kiatu cha Dhahabu,,
 
Sina cha kuongea kwakweli...nawatakia usiku mwema ndugu zangu.
Ndo matokeo ya mpira mkuu, ila Roma wana bahati sana laiti kama KING MESSI asingekuwa majeruhi jana angepiga bao 2 peke yake tena zote za free kick, kuna haja saizi ya kumpumzisha ikifika kwezi wa 4 maana haiwezekani mwaka wa 3 mfululizo anashindwa kuisadia team yake kutokana na majeruhi
 
natamani hii ungeitengenezea Uzi kabisa

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…