FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Fact
 

😀😀😀😀
 
Haya matokeo ya kina Iceman 3D yamekuwa mazuri sana. tuko point 11 kileleni na wao leo wanaingia nafasi ya nne Rasmi. Hivi mtu wa nne si UEFA anapita mlango wa nyuma? Kuna mtu atakosa next UCL🙂🙂🙂
Sheria imebadilika wakwanza hadi wanne wanapita moja kwa moja, ila nakukumbusha kila team inaruhusiwa kuchua UEFA pale mabingwa wa kihistoria wanapotolewa wakifika fainali visingizio vitakuwa wanabebwa, magoli ya offside wakati Ramos akinyanyua trophy back to back to forward
 
Hivi ku hate mnalipwa??
 
Tatizo ni kuwa wenzetu wana chukulia vigezo kwa kuangalia mashindano ya UEFA jambo ambalo ni kweli kuwa Madrid Barca na Atletico wamefanya vzuri zaidi.
Ila hiyo kitu haipimi ligi moja kwa moja kitu kizuri ni kuangalia ushindani wa ndani wa ligi.
Barca na Real wana uwezo wa kuchukua hata ligi ya uingereza na ujerumani, they are too good.
Mfano EPL kwa miaka 8 mfulilzo hakuna timu iliyo chuka kombe mara mbili mfululizo. Ila huko la kuga kwa miaja 8 barca kachukua mara 6. Kwangu EPL ni bora kwa maana ushindani n mkubwa.

☆ Ronaldo alichukua EPL player the year na La liga amechukua so hajashindwa. Na mchallenge na Mess afanye hivo kote.

Ronaldo now ana miaka 33, kama unajua mpira utaelewa kwa nini hawezi kuwa na kasi ile kama unayo ifikiria. na kumbuka Ronaldo alikuwa mbovu na Real ikawa ndio mbovu na si kana ulivo sema wewe.
 
We jamaa una shida sana, unarukia rukia post bila kuzielewa halaf una panic sana kama huwez fanya debate na mim kaa kushoto.

Angalia vizuri mada ya BK kaanzisha nani, siyo una ongea tuu. Nilikuwa najibu kitu ambacho nimeulizwa sku anzisha mimi.
Narudi kwenye mada
Messi kawafunga Madrid wakiwa wabovu ndio si ni disemba, Ronaldo alikuwa off -form na Madrid walikuwa off- . Mwezi august madrid walikuwa form na wakiwapiga barca nje ndani na Messi alikuwemo na hukufanya llte la maana.

Ni ukweli usio pingika kuwa Messi kawafunga Chelsea wakiwa wabovu na Buffoni aliye choka sasa hilo si kosa langu mi naongea uhalisia
 
Uanashau fact moja
Bale alikuwa bora England ndio akaenda Madrid tena alikuwa bora akiwa ba Tot ndio uzuri wa ligi ya EPL.

Umeongelea dabi, lakini Elc Classico si dabi, nakuhakikishia watu wengi wanaangaliaga dabi ya Liva na Everton kuliko dabi ya Barca na Espanyol. Kwa kuwa nje ya Barca na Madrid La liga haina vuto na haina ushindani.
 
Nitajie tuzo ambayo Messi anayo halaf Cr 7 hana. Lakini bado Cr 7 kaongeza na kucheza ligi mbili it matters usije uka puuzia hili
 
Haya matokeo ya kina Iceman 3D yamekuwa mazuri sana. tuko point 11 kileleni na wao leo wanaingia nafasi ya nne Rasmi. Hivi mtu wa nne si UEFA anapita mlango wa nyuma? Kuna mtu atakosa next UCL🙂🙂🙂

La liga mwaka huu imetushinda ki ufupi ngoja tu deal na huku kwingine
 
Staki tuweke data za Neymar kwani si kengo langu. Nakumbika Barca walikuwa wana sema Neymar hauzwii ooh hauziki sjui lakini jamaa aliondoka. Ishu ni kuwa ali determine kuondoka. Kumbuka kuwa Neymar kajinunua mwenyewe. Jinsi alivo kuwa ana tafuta ku epa. Wachana na anacho kifanya huko, hiyo kwangu haikuwa point
Hii ina imply hata Messi akiamua anaweza kuondoka ni swala la yeye kuamua tuu.
 
Wewe ndio zako hizo,, unapenda sana mabishano mkuu..ndio maana nimeamua nikae kimya tu..
Hamna BP hata na mimi kwa mtazamo wangu una penda sana mabishano. Ni kwakuwa mimi na wewe hatujawahi shabikia upande mmoja kwa lolote. Ila utashi wako wa mpira huwa naukubali kila sku
Na nina enjoy kubadilishana mawazo na wewe kila time
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…