mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Ha ha ha usipotaja mambo ya kike siku kwako haijaenda we dadaMishipa inakusimamaga kishenz kumtetea Nesi. Angekua mumeo sijui ingekuaje.
Ha ha ha usipotaja mambo ya kike siku kwako haijaenda we dadaMishipa inakusimamaga kishenz kumtetea Nesi. Angekua mumeo sijui ingekuaje.
Na kama ikitokea hivyo tu ujue barca fainali.Barca atakuja kutana na man city
Madrid atakutana na b.munich
Yaani hakuna raha kutazama mechi ya Barca kama akitangaza huyu Ray Hudson, sijui kwanini hatangazi UEFA.View attachment 718710 View attachment 718710 Guess sasa mtangazaji ni nani.....
Haha jitu lenye mapenzi na mess mzee ray hudson
Haka kajamaa kana mambo ya kike sana.View attachment 718742 Aiseee .... mambo ya shekeri
Hata mimi sijui kwanini ngoja wajuzi wa mambo waje kutujuzaYaani hakuna raha kutazama mechi ya Barca kama akitangaza huyu Ray Hudson, sijui kwanini hatangazi UEFA.
Hahahahahahahahahaha
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haHivi Mwekundu! Unakumbuka zilipigwa pass ngapi kabla barca ( Messi) hajafunga goli kwa Chelsea?
Kuwa muungwana mzazi inapofika suala la mpira siwezi mchukia Messi kwa kumpenda Ronaldo sasa ondoa magoli yote 22 aliyofunga Ronaldo uone Madrid itakuwa na point ngapi. Mfano ukiondoa chuma nne za Ronaldo Madrid Vs girona Madrid Yuko nyuma chuma moja sasa kwako decisive tafsiri yake ni niniMko nafasi ya ngapi?
Hiyo nafasi uliyopo ndio maana ya Ronaldo kufunga useless goals....,Messi ame score magoli mengi ambayo ni decisive ndio maana tupo hapa![]()
Teteai
Barcelona, Paris St-Germain na Real Madrid zinataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah , 25 kwa dau la uhamisho litakalovunja rekodi la £200m. Raia huyo wa Misri amefunga mabao 28 katika ligi ya Uingereza msimu huu. (Sun)
Duh! Acha upinzani neymar mwenye mguu mmoja ni bora kuliko salah mwenye miguu mi wili
Messi amsajili Salah?Psg wamepoteza pesa kwa sharo, Salah ni bora zaidi yake. Namshauri King Messi amsajili huyu mwarabu
Messi amsajili Salah?
Dude, stick to fashion magazines, you know nothing about football!
Neymar ni talented hao uliowataja wote ukiwafanyia editing awe mtu mmoja bado hawamkuti neymar jr
Mkuu hiz pumba kabsaPsg wamepoteza pesa kwa sharo, Salah ni bora zaidi yake. Namshauri King Messi amsajili huyu mwarabu
Mkuu wewe mpira huujui...hata kama neymar kaondoka barca lakn bado ni mchezaj mzur zaid kuliko hao uliowataja..
Haijalishi ana mguu au miguu mingapi. Since angie europe kafanya kitu gn cha maana!! Barca kamkimbia Messi, Psg pamemshinda aende wapi patamfaa? Madrid pale kuna Cr7 utamlinganisha na neimar!! Though simpendi cr7 lakini sometimes anaisaidia timu yake sio kama Neimar kazi kukimbia na mpira. Juve kuna Dybala utamlinganisha na neimar, Man city kuna De bruyn aguero Silver and Gundogan n.k. atletico kuna majembe zaidi yake Griezman Correa n.k. Salah since aingie Liver i think ushaona vitu anavyovifanya wakati neimar ataendelea kujipamba na kuvaa heleni while wenzie wapo kikazi zaidi.
Pongezi kwao hawa vijana, wapo kikazi zaidi na watafika mbali sana. Barcelona tupieni macho kati yao anawafaa.
- Dybala
- De bruyn
- Griezman
- Salah
- De maria
- Mbappe
Neymar atabak kuwa neymar . messi nae atabak kua messi. Usitegemee kumpata mchezaj anaecheza kama messi kipindi cha even 10years later... Huyo dybala hata afanye hateweza kufka hata nusu ya ufund na uchezaji Wa messiSawa mkuu endelea kumpamba tu. Yeye si anautafuta ufalme bwana!! Ufalme hautafutwi kwa style hiyo, Messi ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wazamani na wa sasa.ndio maana wengi wametabiri kuwa Dybala ndie messi ajae. Ila sitaki kuamini hicho kitu. Messi atabakia kuwa Messi/Messi seguirá siendo el rival de Messi para él
También mi líder, buenas noches Yeth lottah
Umesahau 2010 mlipigwa 2-0 na Barca nusu fainali au ile haikuwa Madrid!?Kukutana na real Madrid ligi ya mabingwa ulaya ni sawa na kushindana na Ccm uchaguzi mdogo ,hata ufanyike Kilimanjaro kule siha ,Ccm itashinda kwa ushindi wa kishindo