Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Mkuu tumependa ushangiliaji wa mess... hahah!!Wazee mbona kelele nyiingo utadhani mnaongoza 8-0, just chill kdogo
Mkuu tumependa ushangiliaji wa mess... hahah!!Wazee mbona kelele nyiingo utadhani mnaongoza 8-0, just chill kdogo
Mi mzee mwenzenu [emoji1] ni.mzee jiraniWewe kijana unafata nini kwa wazee
Barca atakuja kutana na man citySiku hizi mpaka timu ziingie nusu fainali ndio drop inapangwa tena
Sawa Mzee jiraniMi mzee mwenzenu [emoji1] ni.mzee jirani
Ha ha ha nimeipenda hii[emoji23][emoji23]Mume akipiga deal likaenda vizuri mtu wakwanza kumkumbuka ni mkewe
Iceman 3D tangu urudi Congo una fujo sanaMi mzee mwenzenu [emoji1] ni.mzee jirani
Maswali mengine ya kiwaki sana mzee, mtu anajua hasimu mkubwa wa barca ni madrid alafu anauliza kwann mkishinda mnaiongelea madrid. Sasa sijui alitaka tuiongelee simba?Ha ha ha nimeipenda hii[emoji23][emoji23]
AahBurudani mzee ladha ipo
Si alikuwa anacheza cheza tuu braza pale!Mkuu tumependa ushangiliaji wa mess... hahah!!
Ukiipata na ile anashangilia mzee embu ufanye kuiletaMessi dah...
Yuko kwenye siku zake huyo atakua amepagawa ,we ujiulizi tu lazima aje kwa bwana zake aje kutingisha matako sokoni hukuMaswali mengine ya kiwaki sana mzee, mtu anajua hasimu mkubwa wa barca ni madrid alafu anauliza kwann mkishinda mnaiongelea madrid. Sasa sijui alitaka tuiongelee simba?
Hatujawahi kumuona akifanya hvyo b4 kwahyo imekua burudani sana kwetuSi alikuwa anacheza cheza tuu braza pale!
[emoji23][emoji23][emoji23]Yuko kwenye siku zake huyo atakua amepagawa ,we ujiulizi tu lazima aje kwa bwana zake aje kutingisha matako sokoni huku
HahahahaIceman 3D tangu urudi Congo una fujo sana
Ila hii ya keo kweli ni mpya aseeHatujawahi kumuona akifanya hvyo b4 kwahyo imekua burudani sana kwetu
Itakua ni yakubembelezea mtoto hiyoIla hii ya keo kweli ni mpya asee