mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,038
Sasa unabisha?Messi ni kocha wetu akiwa uwanjani ndani [emoji23][emoji23]Why you guys overpraise Messi.
Mkishindwa mnafukuza makocha!
Sasa unabisha?Messi ni kocha wetu akiwa uwanjani ndani [emoji23][emoji23]Why you guys overpraise Messi.
Mkishindwa mnafukuza makocha!
Kocha wenu anafanya kazi gani?Sasa unabisha?Messi ni kocha wetu akiwa uwanjani ndani [emoji23][emoji23]
Yeye ukocha wake ni mazoezini na nje ya uwanja wa mpiraKocga wenu anafanya kazi gani?
Kuna siku tushawahi kubishana maskani ya kwamba Messi wa miaka 6,7 iliyopita mpk sasa hafundishwi chochote na kocha,yeye ni kutwanga tu ngozi...Yeye ukocha wake ni mazoezini na nje ya uwanja wa mpira
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku tushawahi kubishana maskani ya kwamba Messi wa miaka 6,7 iliyopita mpk sasa hafundishwi chochote na kocha,yeye ni kutwanga tu ngozi...
Haujadanganya hadi Pep Gudiola ashawahi kusema hivyoKuna siku tushawahi kubishana maskani ya kwamba Messi wa miaka 6,7 iliyopita mpk sasa hafundishwi chochote na kocha,yeye ni kutwanga tu ngozi...
Unakafundisha nini kale kajamaa,hakionekani kama hakijui kitu kuhusu mpira kale[emoji23][emoji23][emoji23]
NeymoneyView attachment 718742 Aiseee .... mambo ya shekeri
Week 3Sergio busquets atapona lini?
Week mbili na nusu zijazo ....kuna uwezekano first leg akakosa na AC RomaSergio busquets atapona lini?