11.Kwaiyo tumewaacha point ngapi?
Dogo anaenda Uingeleza this summer nasikiaKwaacha pengo kubwa mno na Denis nae vp?
Mkuu kwa pamoja tuminye pumbu hawa majirani wapigweNgoja nikawacheki majirani. wakipoteza watakuwa wa 4. Ngoja nikaroge.
poa mkuu, nje ya mada, nasikia Padri Mcharo hana haya makitu, ni kweli?🙂🙂Mkuu kwa pamoja tuminye pumbu hawa majirani wapigwe
ndio hivyo mkuu na ndio sabb ya kutaka kujifcha kwenye kichaka cha upadri ili asishtukiwe japo alishtukiwa useminarini akapgwa chini
hahahaaaaaaa. umeua mkuu.🙂🙂😉😉ndio hivyo mkuu na ndio sabb ya kutaka kujifcha kwenye kichaka cha upadri ili asishtukiwe japo alishtukiwa useminarini akapgwa chini
kijana mdogo. ila huyu Bacca ni galasa sana. toka aende Italy karudi galasa kabisa. huwa nahisi alidanganya umri.Ha ha ha ha haaaaah, mtaa ule Enes Unal kawapakata
Halafu kapata nafasi nyingi sana kashindwa kuzitumia kabaki kumlalamikia refa tu, sasa hivi naangalia mtaa huo huokijana mdogo. ila huyu Bacca ni galasa sana. toka aende Italy karudi galasa kabisa. huwa nahisi alidanganya umri.
Hivi Mwekundu! Unakumbuka zilipigwa pass ngapi kabla barca ( Messi) hajafunga goli kwa Chelsea?Jamani tuombe fungeni macho
Eeh Mungu kama ambavyo ulitupatia chelsea hatua ya 16 bora ,vile vile fanya maajabu utupatia Real Madrid kwenye robo fainali Amen
#Forca_Barca
Naomba dua ya kumtia uoga adui
Messi anajua kufunga magoli hilo liko wazi ila Cr7 ni Goal machine aisee, weka mbali na watoto.Nesi wenu akifunga kamoja, mnyama CR7 anatupia manne.
*****
Nesi wenu akifunga kamoja, mnyama CR7 anatupia manne.
*****
Kocha wenu anafanya kazi gani?
Yaan niache kumpenda mtu anaye funga magoli ma nne, nimpende messi?Halafu You know that hata usajili wa coutinho na paulinho? Messi ni mtu mbaya sana....usipompenda utajitafutia maradhi bure.
Mli highlight Sana goli 4 za Ronaldo mwanzoni Mwa February huku Messi 16 upepo umebadilika tuleteeni tena table ya top scorer Kama ilivyokuwa kila baada ya mechi, bado kule UEFA ndio beast linapiga 5 mechi mbili tusubirie tuone anayecheka mwisho ndio kicheko kinasikilizwa zaidi. Cha msingi HATUTAKI malalamiko ohhh mchezaji anavizia tu mwishoniWazee Atletico Madrid amefungwa leo 2-1 na Villareal so gap ni point 11 then point 15 na Madrid here we go....
Hatufungi useless goals sie litimu lako liko nafasi ya tatu ila unalazimisha uonekane una magoli mengi-True definition of selfishness
Ronaldo ndo anaongoza kufunga useless goals Laliga
Mko nafasi ya ngapi?Mli highlight Sana goli 4 za Ronaldo mwanzoni Mwa February huku Messi 16 upepo umebadilika tuleteeni tena table ya top scorer Kama ilivyokuwa kila baada ya mechi, bado kule UEFA ndio beast linapiga 5 mechi mbili tusubirie tuone anayecheka mwisho ndio kicheko kinasikilizwa zaidi. Cha msingi HATUTAKI malalamiko ohhh mchezaji anavizia tu mwishoni


