mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Yeah tuna defence ya ukuta wa Berlin msimu huuHahahaha
Tatzo nikuwa hata kufungwa hamfungwiinabid niseme llte tuu
Yeah tuna defence ya ukuta wa Berlin msimu huuHahahaha
Tatzo nikuwa hata kufungwa hamfungwiinabid niseme llte tuu
Sure mashambulizi yamepungua 75%Sifurahishwi na mpira tunaocheza kipindi cha pili kabisa
YeahYeah tuna defence ya ukuta wa Berlin msimu huu
Wanacheza Europa hawa sema wamekutana na team jiwe![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi huyu mchezaji alo sababisha kona ni wa ligi kuu kweli?
Hii tim mbovu mwee!
Na tunashambuliwa sanaSure mashambulizi yamepungua 75%
Haha...Ukiipata na ile anashangilia mzee embu ufanye kuileta
Kipindi cha kwanza Andres Ter Stergen alikua likizo 100%Na tunashambuliwa sana
HahahaWanacheza Europa hawa sema wamekutana na team jiwe
Daah huwa namkubali sana huyo jamaa akitangaza mechi ya BarcaView attachment 718710 View attachment 718710 Guess sasa mtangazaji ni nani.....
Haha jitu lenye mapenzi na mess mzee ray hudson
Wasije kutufunga tu sasaKipindi cha kwanza Andres Ter Stergen alikua likizo 100%
Hawawezi yatakua maajabu ya mwakaWasije kutufunga tu sasa
Yeah
Nampa propz sana Valverde amekuwa very pragmatic ana caluculative.
Why you guys overpraise Messi.Wataka kutuambia Valverde ndie mpanga squad?? Na sio Messi mwenyewe!!!! Ebu Fuatilia vizuri
Daah huwa namkubali sana huyo jamaa akitangaza mechi ya Barca