FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Chelsie wakua wazur sana first half kuliko barca in term of attacking.. While barca wakua vizur sana kwenye Ku compose mpira. Any way ngoja tusubir Second half
 
Mechi imeshaisha labda usubiri goal la Suarez tu
Yea mechi imeisha.., veverde amekua bora zaid kwenye tactical defensing.., cjawah kua na kocha bora zaid barca kwa kuweza kuhimil presha iletwayo golin mwake., lakn pia hana tactical nzur kwenye upande wa kuuchezea Mpira as a team.
 
Mlioko spain jaman naomba mumfikishie salamu zangu Dembele kua namuomba msamaha yaani nilikua namchukia na kumbeza kwa kiwango chake kibove lakini goli la leo limefuta makosa yake yote
Hilo ndilo linabusti career yake pale Barca...just observe the way Messi alivyomkumbatia with passion!
 
nilitabiri Madrid ingemfunga PSG.
nilitabiri juventus itamfunga spurs
nilitabiri arsenal itamfunga ac Milan
na leo natabiri Chelsea itamfunga barca.
iwe ndani ya 90,au ndani ya 120 au matuta.
barca OUT.
We kweli mjinga.
Hivi Chelsea ana ubavu gani na sisi?
Kumbuka hata pweza Paul alifel kutabiri mshindi vile vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom