FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2018-03-10-16-11-46.png
 
Wakuu leo Messi amepata mtoto anaitwa baby "Cyprus " so he is so happy and excited sisi fans kama kawaida yetu atatulipa uwanjani game ya leo
Dooh! mkuu Mess yupo vizuri kila idara mana ata watoto anatoa dabo dabo tu... sema leo afanye kweli bhn mana hasimu wake huko kishawaka
 
Ronaldo asipo score hali na ataambulia kutukanwa na madriodiots wenzake so muache akamilishe mkono uende mdomoni
Ronaldo asipochukua kiatu cha laliga naacha kumshabikia tena maisha yangu yote
 
Barcelona ya leo ndio mtaona uwezo halisi wa Ousmane Dembele na Philippe Coutinho, naamini leo tutapiga mpira mwingi mno sababu Dembele na Coutinho watakua wanajua lazima wabebe timu leo na hawatakua na pressure maana mda mwingine kucheza na ma superstar kama Messi lazima kitete cha mguu ukipate.
Leo ndio utaona Barcelona ya kushambulia pande zote sio ya kumtegemea mtu mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom