FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Shida siyo gape man angalia Inesta kapata majeraha nadhani kocha ndiyo atamtumia Gomez badala ya Denis
Sure mkuu kwa mtazamo wa mbali hilo nalo ni tatizo sana mana hatujui majeraha yake yatadumu kwa muda gani na chaguo la kocha ndio Gomez asee itatucost
 
Moja kati ya wachezaji ambao ni wapumbavu na mpaka sasa wanajuta kwa maamuzi yao ni Neymar, kuondoka Barca ambayo unacheza na Messi na kwenda timu kama PSG ambapo kuonekana mpka UEFA unahitaji kuwa na akili chafu kama za polic wa chama cha map.....
Ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…