Sisi huwa hatushindani na no 3 huko!!Nyie mapimbi wenzenu tumeshinda 4-0.
Msijifanye mko bize kuchambua kasoro za Dembele mara hajui Ki Spain.
Hapo tungepoteza game leo mngebwatuka kishenz na mamidomo yenu hayo.
HALA MADRID.
Neymar's first season was awful. The rest is history!Moja ya vitu ambavyo anatakiwa apimwe Dembele ni
1.succesful dribbles (holding football)
2.key passes
3.Speed ya attacking
Vinginevyo hela yetu itakua imeenda bure
Me sija doubt ila nime analyze parameters za measurement zakeNeymar's first season was awful. The rest is history!
Let's give this kid some time win his confidence back!
Pamoja mkuu!Me sija doubt ila nime analyze parameters za measurement zake
Tena yeye alikua na badluck ya injuries so tumpe muda zaidi na tumuondolee pressure ya performance kama ambayo tulikua tunaipata kwa Neymar and potentially he is so young
Fatilia tokeo mkuu100% ya kushinda 4-0 kama Madrid ama.
Nmemiss mvua dahLeo tunampiga mtu goli saba watoto wa Girona wamechezea koki wanalowana kwanini wasimuite Padri Mcharo awasaidie ?
Mkuu naomba tasmini leo hatuoni hatrick kweli?Hii ndio Barca tunayoitaka.
Ipo ataipiga na assist zake kama.kawaidaMkuu naomba tasmini leo hatuoni hatrick kweli?