Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Naomba nikuzawadie hii picKuna mtu huwa haniangushi hata siku moja. Live long mtu mfupi,mzee baba,fundi mwenyewe Lionel Messi. Viva Barcelona viva
Naomba nikuzawadie hii picKuna mtu huwa haniangushi hata siku moja. Live long mtu mfupi,mzee baba,fundi mwenyewe Lionel Messi. Viva Barcelona viva
Wow....ananikera midevu kama Osama tu. Fundi mwenyewe a.k.a kiboko yaoNaomba nikuzawadie hii picView attachment 698984
Wow....ananikera midevu kama Osama tu. Fundi mwenyewe a.k.a kiboko yao

Umeongea ukweli mtupu sana mkuu, nashangaa sana Paulinho kwa uwezo wake kua first eleven ya Barcelona eti sub zetu ni Vidal na Gomez doh yan tuna masihara hatuwezi kua na timu yenye competition tukimtegemea mchezaji mmoja tu Messi. Jana nafasi ya Dembele ilikua wazi kabisa kuanza kucheza, ukiniambia hapana naomba niambie hivi unaweza mfananisha Vidal na Dembele kweli? Mie kwangu Dembele ni mchezaji nayemkubali sana na sioni wa kumweka benchi katika nafasi anayocheza katika timu yetu.Naomba niseme yafuatayo kutokana na Game ya jana
1. Sijawahi kushuhudia Chelsea wakicheza ktk attention kubwa kama mechi ya jana dhidi ya Barcelona.
Chelsea walijua kuwa uzembe wowote ule ungewagharimu, na ni kweli, uzembe wa beki ulipelekea Messi akafunga, Chelsea waliamini heri matokeo ya kufungwa 2-0 pasipo kufungwa na Messi kuliko matokeo ya 1-1 na 1 lenyewe kufungwa na Messi.
2. Barca tunapaswa kusajili winga ya kushoto, tunapaswa kushoto kuwa na mtu makini wa kazi kama Hazard na sio wauza sura kama Neymar. Hazard jana kacheza mpira mmoja mzuri sana, alitulia na kupiga chenga na kutumia nafasi vizuri.
3. Goal la Chelsea kila mmoja wetu alivyoona Willian kapokea mpira alijua tu kuwa lile ni goli, Willians alionekana mara mbili akiachwa huru anapiga mipira kuelekea golini na zote kagongesha mwamba, mara anapokea mpira tena bila kukabwa anaachwa apige mpka anafunga, huu ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu.
Solution Wakuu tupate Winga ya kushoto na kiungo mchezashi mmoja wa timu wa kueleweka, hawa akina Paulinho bado sana, walau Rakitic anajitahidi sana.
Nadhan inshu ya fitness na ukubwa wa mechi ndo ilikua sababu kubwa ya Dembele kua njeUmeongea ukweli mtupu sana mkuu, nashangaa sana Paulinho kwa uwezo wake kua first eleven ya Barcelona eti sub zetu ni Vidal na Gomez doh yan tuna masihara hatuwezi kua na timu yenye competition tukimtegemea mchezaji mmoja tu Messi. Jana nafasi ya Dembele ilikua wazi kabisa kuanza kucheza, ukiniambia hapana naomba niambie hivi unaweza mfananisha Vidal na Dembele kweli? Mie kwangu Dembele ni mchezaji nayemkubali sana na sioni wa kumweka benchi katika nafasi anayocheza katika timu yetu.
Katika Raktic mkuu naomba nipingane na wewe kidogo, katika match ya jana kiukweli Rakitic kaupiga mwingi mno katikati pale kama uliona Sergio alikua kama kapanda juu fulani hivi sababu ya shughuli aliofanya jana Raktic mana alikua anamsaidia Sergio pale kati.
Mkuu, mm nimesema kwa Paulinho bado sana ila walau Rakitic anajitahidi. Rakitic ni mzuri ila kwa kuichezesha vilivyo bado aiseee.Umeongea ukweli mtupu sana mkuu, nashangaa sana Paulinho kwa uwezo wake kua first eleven ya Barcelona eti sub zetu ni Vidal na Gomez doh yan tuna masihara hatuwezi kua na timu yenye competition tukimtegemea mchezaji mmoja tu Messi. Jana nafasi ya Dembele ilikua wazi kabisa kuanza kucheza, ukiniambia hapana naomba niambie hivi unaweza mfananisha Vidal na Dembele kweli? Mie kwangu Dembele ni mchezaji nayemkubali sana na sioni wa kumweka benchi katika nafasi anayocheza katika timu yetu.
Katika Raktic mkuu naomba nipingane na wewe kidogo, katika match ya jana kiukweli Rakitic kaupiga mwingi mno katikati pale kama uliona Sergio alikua kama kapanda juu fulani hivi sababu ya shughuli aliofanya jana Raktic mana alikua anamsaidia Sergio pale kati.
Wameachana sasa hiviHeheh!! Nahisi ilikua hivyo ila sasa hv kishayazoea
Acha utani bhn wameachana lini tena?Wameachana sasa hivi
Bila kupiga viatu ile mechi tungepoteza!Sergio jana kacheza offensive role ila jamaa apunguze kuchapa maana anapiga mno kiatu asije aka miss next match kama last years alivyo miss game ya juventus first leg hadi kukapigwa kizembe
SureUyo jamaa ni mastermind ila inatakiwa ajitunze maana akiumia tu hatuna chetu mkuu
Nilikua sijui babu, sasa shida ilikua nini hasa?Babu toka mwaka Jana walivyotoka tu kwenye harusi ya king leo wakaachana
Dembele akiwepo haitakuwa shida. ila mi napenda kwenye Right flank tungekuwa na RB ya semedo na RCM ya Roberto. ingefanya sana kazi naona kama tungeifanyia kazi kwenye ligi. lakini naona wanamlazimisha Paulinho acheze na kuvuruga mambo. ingekuwa amri yangu Paulinho angekuwa anaingia kuanzia dk ya 70 kwenda juu.Bila kupiga viatu ile mechi tungepoteza!
Sergio ni mmoja kati ya wachezaji wachache sana wanaocheza rafu za muhimu sana zenye kuokoa timu.
Unafikiri yule willian bila kupigwa viatu angetulia?
Anyway, kumkosa Sergio kwenye mechi zijazo za UEFA kunaweza kua sababu ya sisi kuanguka.
Let's pray that he doesn't mess it up!
So sadSijajua tatzo mkuu ila ndyo hivyo mkuu
Huwa tunasema humuNaomba niseme yafuatayo kutokana na Game ya jana
1. Sijawahi kushuhudia Chelsea wakicheza ktk attention kubwa kama mechi ya jana dhidi ya Barcelona.
Chelsea walijua kuwa uzembe wowote ule ungewagharimu, na ni kweli, uzembe wa beki ulipelekea Messi akafunga, Chelsea waliamini heri matokeo ya kufungwa 2-0 pasipo kufungwa na Messi kuliko matokeo ya 1-1 na 1 lenyewe kufungwa na Messi.
2. Barca tunapaswa kusajili winga ya kushoto, tunapaswa kushoto kuwa na mtu makini wa kazi kama Hazard na sio wauza sura kama Neymar. Hazard jana kacheza mpira mmoja mzuri sana, alitulia na kupiga chenga na kutumia nafasi vizuri.
3. Goal la Chelsea kila mmoja wetu alivyoona Willian kapokea mpira alijua tu kuwa lile ni goli, Willians alionekana mara mbili akiachwa huru anapiga mipira kuelekea golini na zote kagongesha mwamba, mara anapokea mpira tena bila kukabwa anaachwa apige mpka anafunga, huu ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu.
Solution Wakuu tupate Winga ya kushoto na kiungo mchezashi mmoja wa timu wa kueleweka, hawa akina Paulinho bado sana, walau Rakitic anajitahidi sana.
Hujui???Acha
Acha utani bhn wameachana lini tena?
Yaani ndio leo unaniambia rafikiHujui???
Sure!Dembele akiwepo haitakuwa shida. ila mi napenda kwenye Right flank tungekuwa na RB ya semedo na RCM ya Roberto. ingefanya sana kazi naona kama tungeifanyia kazi kwenye ligi. lakini naona wanamlazimisha Paulinho acheze na kuvuruga mambo. ingekuwa amri yangu Paulinho angekuwa anaingia kuanzia dk ya 70 kwenda juu.