Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Usijali mkuu mambo yatakuwa sawa kabisa, sio kwa lile limsitubarca licha ya kutafuta ishindi wao wanatafuta na records ndio kinachofanya mpaka saizi wanapoteza nafasi kwa kutaka fulani ndio afunge, maana pasi nyingi sana ndani ya 18 wakati chelsea wao William akiona mwanya tu anaachia shine hata kama mbali, ...
Hebu watuwekee Countinho kwanza maana ndio anayefanya mpaka saizi niwe macho kuona maufundi