Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,802
- 2,961
Kwa hiyo!?Barcelona hajawahi kushinda darajani
Barcelona hajawahi kutoka na cleansheet darasani
Waleteni hao

Kwa hiyo!?Barcelona hajawahi kushinda darajani
Barcelona hajawahi kutoka na cleansheet darasani
Waleteni hao

Sio kweli mkuu,Barcelona hajawahi kushinda darajani
Barcelona hajawahi kutoka na cleansheet darasani
Waleteni hao
Barcelona hajawahi kushinda darajani
Barcelona hajawahi kutoka na cleansheet darasani
Waleteni hao
Morata ni miongoni mwa stricker watatu wabovu sn kupata kutokea msimu huu wa uefaQumamae...
Pale Hazard, pale Morata. Nyuma mzee Ng'olo Kante. Kubabake walay.
Lazima mbwa wa Catalonya warudi kwao huku vijambio vinavuja damu.
Chelsea pigeni Mbwa haooo!!!
Hizo ni record za mtoanovipi hile mbili moja pale darajani mpaka beki wenu anapigwa umeme kwa kumrukia messi
Cavani anaenda kuchukua namba ya nani?Cavani,Verati,Mbape na nani?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha![]()
Huyu hapo
Sitegemei Dembele kupata namba Game ya Chelsea, Dembele majeruhi yamemsumbua sana. Hawezi kutoka kwenye majeruhi na haraka haraka aingia kwenye mechi ngumu kama hii. Messi anaweza akawa yupo sahihi kabisa.Daah kuna news nazskia kuwa messi hatak kumuona dogo dembele mechi ya kesho kamwabia ivo kocha...kama hizi taarifa ni za kweli basi ushabiki wangu kwake napunguza maana naona ka anajsahau alivokuwa chpukzi na jinsi gaucho alivomsaidia kukuwa....messi needs 2 help n encourage dembele in zc kind of moments dembele h s passin through...all in all i am wshn dembele would gonna reveal his good form n gonna b one of key players in our team
Yaani Gomes ni kumshkia na bakora mshenzi yule, ila ni bora akacheza Palco au Denis Suarez kushoto kuliko Gomes.Dembele anazingua tu mbona tumuonee huruma huku tukimgombeza Gomes?
Achana na Coutinho mkuu, jamaa anajua yule.Mimi namuunga mkono messi hela kama tumeliwa mchezaji hana stamina kila siku majeruhi,mchezaji muoga...........coutinho kaja juzi lakini anacheza kama ana miaka sita barca
Mungu aepushe hiiWakuu nasikia Andre Gomez anaanza first eleven
Kweli kabisa atatuchomesha, labda aingizwe dk za mwisho kama tukiwa tunaongoza kwa magoli ya kutosha, mechi kubwa sana hii tukizingua hapata kalika kabisaUko sawa mkuu lakini kipinda kina Gaucho wanamshika mkono Mess nae alikua anashikika kweli mana alikua anauwasha sio kitoto, sasa Dembele pale hayupo academy wala hajatoka Lamasia bali kasajiriwa kutoka club kubwa tena kwa dau kubwa sanaaaa...
Sasa kwa kile kiwango anachoonesha anatupa mashaka ata sisi mashabiki sio Mess tu yani hajiamini anaogopa ogopa tu kama mpuuzi mixer majeraha hayamuishi kila kukicha...
Tunaelekea ktk game kubwa na yamuhimu hatuhitaji mtu anaetafuta ujasir uwanjani bali tunahitaji mtu anaejiamini na kuweza kusaidia timu kupata matokeo
Magoli ya kutosha uyapate darajani?Kweli kabisa atatuchomesha, labda aingizwe dk za mwisho kama tukiwa tunaongoza kwa magoli ya kutosha, mechi kubwa sana hii tukizingua hapata kalika kabisa
Wacha historia ibaki kuitwa historia usichanganye mambo.Magoli ya kutosha uyapate darajani?
Zimepita barca za kutisha na hawajawahi kuwafunga Chelsea zaidi ya goli 2-1
Chelsea walicheza 10 uwanjani camp nou na kipindi hicho messi,iniesta,xavi na Sergio wapo kwenye peak ya carrier yao na mkaishia 2-2 ndio barca hii imfunge 3+Wacha historia ibaki kuitwa historia usichanganye mambo.
As long as mpira unachezwa baadae yote possible.
Yanawezekana sana mkuu, naimani iyo.Chelsea walicheza 10 uwanjani camp nou na kipindi hicho messi,iniesta,xavi na Sergio wapo kwenye peak ya carrier yao na mkaishia 2-2 ndio barca hii imfunge 3+
Sasa Mess kusema Dembele asipangwe kuna wadau wanamuona anazingua lakini yupo sahihi kabisa.Kweli kabisa atatuchomesha, labda aingizwe dk za mwisho kama tukiwa tunaongoza kwa magoli ya kutosha, mechi kubwa sana hii tukizingua hapata kalika kabisa
Haya ni maneno ya vijiweni tu!Sasa Mess kusema Dembele asipangwe kuna wadau wanamuona anazingua lakini yupo sahihi kabisa.
Kumbuka mtu wa mwanzo kabisa kumpinga Gomez alikua ni Mess na aliwaambia wamuuze lakini hawakumsikiliza. Angalia sasa hv kila mtu hamtaki zaidi ya benchi la ufundi tu.
Mess is Genius..
Ndivyo ilivyo sasa Mess anachofanya ni kutoa personal option tu sio decision. Barc n taasisi kubwa sana na kila kitengo kina mtu mwenye taaluma nacho.Haya ni maneno ya vijiweni tu!
Messi hapangi kikosi, wala Messi hayumo kwenye board ya usajili.
Inaweza kua personal opinion tu, ila sio decision.
Dembele anahitaji kupona vizuri ndo arudi uwanjani, hii ni mechi ngumu na inahitaji experience pia.
Otherwise, kwa wanaosema tumepoteza hela kwa dembele naamini hamumjui vizuri huyu bwana mdogo!