FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

MTU umpendaye huwezi kumuita mpumbavu.
Sisi sio wanaz wala wahafidhina wasopenda
Tunaipenda timu hatumpendi mtu
Akizingua kocha,mchezaj,au managemnt tunakosoa tu
Hyo tabia ya kutetea kila coz of uhafidhina na unaz kaa nayo kulekule kwny siasa zenu za kijinga
Hapa we call a spade a spade
MIND U
HUNA HATIMILIK YA TIMU
 
Sisi na nani? Mko group la kumshambulia Meneja? Meneja anayeongoza La liga kwa tofauti ya pwenti 10. Hasimu wake RMA kapitwa pwenti zaidi ya 15( mechi 5+)
Na timu imeshinda ugenini kwa clean sheet.
Hapana.
 
suarez lazima atafutiwe mtu wa kumpa pressure pale mbele amekuwa mzito sana aisee lazima tukubali......
kwenye ukweli tuseme,Messi wakati team ina struggle inabidi apunguze kutumia akili goal likiwa at his mercy-jana ilitakiwa Messi nae apate goal.Team ikiwa kwenye cruise control hapo ruksa aufanye mpira anavyotaka
 
d266054871d9d8f33053c52461b81447.jpg

Nimeudhunika sana mnyama kuto kufunga
 
Wakati nacheki cheki YouTube nikakutana na hii kuhusu coutinho , embu cheki na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom