GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Hapana mkuu, bila shaka uta frahiaNataka niinstal mida ya popo, ili niitest kabisa, vipi kuna vya kufwata?
Hapana mkuu, bila shaka uta frahiaNataka niinstal mida ya popo, ili niitest kabisa, vipi kuna vya kufwata?
Yaah maana king’amuzi naona kimezingua asee hakishiki stationHapana mkuu, bila shaka uta frahia
Poa poa mkuuYaah maana king’amuzi naona kimezingua asee hakishiki station
Anapigika kirahisi sana Chelsea. Maana hana kikosi imara kwa midfielder yao Bakayoko na zile Beki zao mawenge akina cahil na ile foward yao yenye kifafa morata hawa jamaa wanakaa mapema sana.Wakuu tunadhani tutampiga Chelsea
Kipindi kile Torres alikuwa ze kibonde,drogba ze kubahatisha,kocha ze kubabaisha!! Lakini mlikaaAnapigika kirahisi sana Chelsea. Maana hana kikosi imara kwa midfielder yao Bakayoko na zile Beki zao mawenge akina cahil na ile foward yao yenye kifafa morata hawa jamaa wanakaa mapema sana.
Ikumbukwe kwa sasa barca haina majeruhi yeyote yule. Timu iko physically and mentally fit. Tumetimia kila idara na record nzuri ya kutofungwa msimu huu kwenye ligi.
Relax! We gonna have a party.

Torres alikuwa karogwa na juju za drogba..! Na juju hizo za Drogba zikatuvaa na sisi Barcelona.Kipindi kile Torres alikuwa ze kibonde,drogba ze kubahatisha,kocha ze kubabaisha!! Lakini mlikaa![]()
Uko sawa mkuu lakini kipinda kina Gaucho wanamshika mkono Mess nae alikua anashikika kweli mana alikua anauwasha sio kitoto, sasa Dembele pale hayupo academy wala hajatoka Lamasia bali kasajiriwa kutoka club kubwa tena kwa dau kubwa sanaaaa...Daah kuna news nazskia kuwa messi hatak kumuona dogo dembele mechi ya kesho kamwabia ivo kocha...kama hizi taarifa ni za kweli basi ushabiki wangu kwake napunguza maana naona ka anajsahau alivokuwa chpukzi na jinsi gaucho alivomsaidia kukuwa....messi needs 2 help n encourage dembele in zc kind of moments dembele h s passin through...all in all i am wshn dembele would gonna reveal his good form n gonna b one of key players in our team
Hakuna uthibitisho wowote kama messi kayasema hayo ingawaje kwa sasa Dembele hapaswi kabisa kucheza game ya kesho kutokana na intensity yake.Mess kama kafikia huko anazingua tena hasa kwani yeye ni game zote anafanya vizuri
Inaniomba password. Inagoma

Hapana mkuu, sisi tunakumbuka hii![]()
Nyie mbeleko FC mnaikumbuka hii.?![]()
![]()
Ilikuwa kipindi drogba ana majuju yake kutoka Ivory coast yaliyomrostisha hadi Fernando Torres but this time ni tik taka la kikatalonia na la masia hawa watoto wa mtaani wanaoishi chini ya madaraja wanakaa mapema sana.Barcelona hajawahi kushinda darajani
Barcelona hajawahi kutoka na cleansheet darasani
Waleteni hao