FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tuna watu wa kila aina
But nadhan tunatakiwa tubadlke kulingana na game ynyw
Haina maaana kumilki mpira kwa asilima sabin huko ilhal hakuna goal kwa dk 90
Kweli kabisa Mkuu. Ila wamejituma sana hasa ukizingatia walitumika saana kwenye game ya Kopa Direy na Valencia juzi kati.
 
Tuna watu wa kila aina
But nadhan tunatakiwa tubadlke kulingana na game ynyw
Haina maaana kumilki mpira kwa asilima sabin huko ilhal hakuna goal kwa dk 90
ila hata kushambulia tumeshambulia sana. najua tutakuwa nashots nyingi sana on target. naona nayo ni game tu ilikataa. ila dogo Dembele naona bado hayupo sawa.
 
wakati mwingine nawaza hile 90 tuliotoa kwa dembele nyingi sana aiseeeee
Hapana mkuu wala usijali atabadilika ad hutoamini maneno yako. Katoka majeruhi tumpe mda mana bado hajiamini hajiamini kama game ya leo. Kucheza timu kama ya Barcelona nalo sio jambo la mchezo ukiangalia uku Messi, uku Suarez uku Iniesta lazima utetemeke.
 
Wakuu atletico ametubakiza 7 points tusipokuwa makini ubingwa tutausikia kwenye redio valverde anazingua mno sijaona cha zaidi alichonacho paco kinachomuweka nje Denis Suarez hata mpka sasa sijaona mpira mkubwa wa Dembele wa kumuweka benchi Denis nje ifike wakati tuviamini vya kwetu Denis ni mchezaji mjanja mjanja mno lakn paco ni mpole hana madhara yeyote Yale akiwa uwanjani yupo kama kafiwa alfu kocha anampiga. Kwakweli valverde anazingua
 
Ndio maana nimesema yule dembele tumepigwa pesa tuliingia kichwa kichwa sababu ya stress yani yupo kwenye box anatakiwa kupasia kwenye nyavu anatetemeka miguu......akipiga chenga anaanguka mwenyewe sitakaa niamini kwa hile pesa ni nyingi sana kwakweli mbappe ameenda psg anaendeleza moto lakini huyu wetu hapana aiseeee
 
Wakuu atletico ametubakiza 7 points tusipokuwa makini ubingwa tutausikia kwenye redio valverde anazingua mno sijaona cha zaidi alichonacho paco kinachomuweka nje Denis Suarez hata mpka sasa sijaona mpira mkubwa wa Dembele wa kumuweka benchi Denis nje ifike wakati tuviamini vya kwetu Denis ni mchezaji mjanja mjanja mno lakn paco ni mpole hana madhara yeyote Yale akiwa uwanjani yupo kama kafiwa alfu kocha anampiga. Kwakweli valverde anazingua
Mkuu
Nkusaidie hapo
Kwa kifupi tukizingua mechi mbil zingine tu imetafuna kwetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom