Hiv haikutosha kuahirisha mechi maana dahUwanja una maji sana snow plus mvua
Inatosha kwa Leo, ngoja tuwasubiri Atletico na Valencia watatokaje Leo. Maana wale wa upande wa pili tushawatoa kwenye orodha ya kushindana na sisi.Daaah Derby inatosha hii draw we are still invincible in the world record inaendelea kuwekwa
Napenda comeback spirit ya Barcelona sijaona bado team ya kutufunga
True kabisaInatosha kwa Leo, ngoja tuwasubiri Atletico na Valencia watatokaje Leo. Maana wale wa upande wa pili tushawatoa kwenye orodha ya kushindana na sisi.
Na Gerald PiqueAsantee king Messi 10
Hata mm nilikuwa na wasi wasi sanaHii game ilionekana mapema sana toka kwenye lineup kua ushindi ni mgumu
Kocha anajiamini sana lakini haya majaribio mengine sioHata mm nilikuwa na wasi wasi sana
Hivi yule dogo sijui Moreno ndio alikuwa serious akitaka azichape na Pique? 😀 😀 😀Ila hii ya Leo haikuwa mechi bali ni vita dadeq watu full kupigana na kukabana makoo
Hahaaaa ndio hvyo jamaa anapenda kuzichapaHivi yule dogo sijui Moreno ndio alikuwa serious akitaka azichape na Pique? 😀 😀 😀
Kuna mmoja mechi ilivyoisha alitaka kutandikwa makofi na umtitiHivi yule dogo sijui Moreno ndio alikuwa serious akitaka azichape na Pique? 😀 😀 😀
Kinacho ni boa hawa jamaa huwa wanafungwa kizembe sana na Madrif