FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Kocha wetu yuko "very technical". Kumbuka wiki ijayo tutakuwa na game ngumu dhidi ya Valencia (Copa Deray) nyumbani kwao.Hii line up sijui kama tutatoboa. Siku ile Digne walipoanza na Semedo tulikamatwa na game ilikuja badilika tulipofanya changes. Alba na Roberto ni watu muhimu sana kwa game hii ngumu. Kocha kadharau game. King pia bench.
Kwa line up hii iko powa madamu J.Alba na Messi10 wako benchi. So mambo yakienda kombo sana lazima waingie kuokoa jahazi.
Lakini kama mambo yataenda poa hamna haja ya kuingia na tutakuwa tumejiweka vizuri muno dhidi ya Valencia wiki ijayo...