FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hao pundits wanazingua gaucho ilifaa ndo awe mwanasoka bora wa miaka yote

Mkuu hapo ni akina nani wanaoujuwa mpira you or pundits??? Kwanza kabisa alitakiwa afanye diet ya kupunguza matako/makalio, na unene kwa ujumla hapo ndio kwa mbaaali angeweza kuwafikia hata akina Zidane, Juan Requelme, Cr7, De lima, iniesta, Xavi n.k...so atabakia kukumbukwa kwa kile alichokifanya kama mchezaji wa kawaida tu,,, ndiomaana hata hazungumziwi except wabongo tu.

Tena alivyomuona Messi kwa mara ya kwanza anaingia ndani ya camp nou alichanganyikiwa na akaonekana ni mchezaji wa kawaida sana.haata kama angecheza miaka 20 ahead na bado asingemfikia Messi. Messi acha aitwe mfalme.
 
Ndiyo mwanasoka pekee mwenye tuzo 6 katika soka

Tuzo zipi hizo?? Bado mnaendeleaga tu kumfananisha na Messi. Ni kama Ronaldo fans adi leo eti wanamlinganisha na King Messi yaani 😀😀😀
  1. Gaucho na Messi wapi na wapi kaka!!!! Ni kama tembo na sisimizi
  2. Gaucho na Diego Maradona wapi na wapi?
  3. Gaucho na Edison Pele wapi na wapi?
 
Barcelona wanatakiwa waanze kuandaa "Messi" mwingine atakayerithi mikoba ya huyu...

I think Paulo Dybala atakuja Barca.

772570-large.jpg
 
hivi messi ni binadamu wa kawaida kweli?
Ni binadamu lakini siyo wa kawaida. Ni kutoka sayari nyingine huyo.

Kama ningekuwa na uwezo, ningeruhusu wazee wa Genetic Engineering watutengezee kopi ya Messi10 kwenye Maabara.

Na hili linawezekana, kwa maarifa yangu kidogo niliyonayo, sayansi hiyo inaitwa "Cloning". "Cloning" ni mchakato wa kutengeneza kopi sawa (identical copy) ya kiumbe hai (organism), seli au dutu (gene) kutokana na kiumbe, seli au dutu (gene) halisi (original).

Kiumbe hai, seli au dutu (gene) sawa (identical) inayopatikana kutokana na kiumbe hai, seli au dutu (gene) halisi (original) huitwa "clone".

"Cloning" hufanyikaje?, seli ya kawaida (somati cell) yenye "chromosomes 46" huchukuliwa toka sehemu ya mwili, isiwe "sex cell" kutoka kwenye kiumbe, cell au dutu (gene) halisi (original) (hapa, somatic cell lazima itolewe kwenye mwili wa Messi10) ili kupata kopi ya Messi10) ili kutengeneza kopi yake (clone).

Baada ya hapo, inachukuliwa "female sex cell" yenye "chromosomes 23" kutoka kwa kiumbe hai chochote (kwa kesi hii hapa lazima awe binadamu).

Kisha, zile chromosomes 23 ktk "female sex cell" zote zinatolewa linabaki kasha tu. zoezi linalofuata, huwa ni kuchukua zile "chromosomes 46" kutoka kwenye "somatic cell" na kuzi-fix (kuziweka) ndani ya lile kasha la "female sex cell".

Mwisho, upandikizaji (implantation) wa hiyo "female sex cell" (ikiwa na zile "chromosomes 46" zilizowekwa baada ya kutolewa kwenye "somatic cell") hufanyika katika mji wa mimba kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Mwanamke huyo atakuwa ana ujauzito kama ule unaopatikana kwa njia ya kawaida. Na baada ya miezi 9 atajifungua kopi ya Messi10 kwa 100% kwa sababu "chromosomes 46" zote zimetokana na yeye mwenyewe.

NB: International conventions kuhusu haki za binadamu haziruhusu hii kitu. So, its an illegal and strictly prohibited.
 
Ni binadamu lakini siyo wa kawaida. Ni kutoka sayari nyingine huyo.

Kama ningekuwa na uwezo, ningeruhusu wazee wa Genetic Engineering watutengezee kopi ya Messi10 kwenye Maabara.

Na hili linawezekana, kwa maarifa yangu kidogo niliyonayo, sayansi hiyo inaitwa "Cloning". "Cloning" ni mchakato wa kutengeneza kopi sawa (identical copy) ya kiumbe hai (organism), seli au dutu (gene) kutokana na kiumbe, seli au dutu (gene) halisi (original).

Kiumbe hai, seli au dutu (gene) sawa (identical) inayopatikana kutokana na kiumbe hai, seli au dutu (gene) halisi (original) huitwa "clone".

"Cloning" hufanyikaje?, seli ya kawaida (somati cell) yenye "chromosomes 46" huchukuliwa toka sehemu ya mwili, isiwe "sex cell" kutoka kwenye kiumbe, cell au dutu (gene) halisi (original) (hapa, somatic cell lazima itolewe kwenye mwili wa Messi10) ili kupata kopi ya Messi10) (clone) ili kutengeneza kopi yake.

Baada ya hapo, inachukuliwa "female sex cell" yenye "chromosomes 23" kutoka kwa kiumbe hai chochote (kwa kesi hii hapa lazima awe binadamu).

Kisha, zile chromosomes 23 ktk "female sex cell" zote zinatolewa linabaki kasha tu. zoezi linalofuata, huwa ni kuchukua zile "chromosomes 46" kutoka kwenye "somatic cell" na kuzi-fix (kuziweka) ndani ya lile kasha la "female sex cell".

Mwisho, upandikizaji (implantation) wa hiyo "female sex cell" (ikiwa na zile "chromosomes 46" zilizowekwa baada ya kutolewa kwenye "somatic cell") hufanyika katika mji wa mimba mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Mwanamke huyo atakuwa ana ujauzito kama ule unaopatikana kwa njia ya kawaida. Na baada ya miezi 9 atajifungua kopi ya Messi10 kwa 100% kwa sababu "chromosomes 46" zote zimetokana na yeye mwenyewe.

NB: International conventions kuhusu haki za binadamu haziruhusu hii kitu. So, its an illegal and strictly prohibited.
Kijana uichambua vizuri sana hadi nmejikuta nmepiga screen shoot, nahis tupo kwenye field moja of study
 
Kijana uichambua vizuri sana hadi nmejikuta nmepiga screen shoot, nahis tupo kwenye field moja of study
Au cyo Mkuu. Kati ya field ambazo ni very interesting in terms of practical and applications, Genetic Engineering ni moja wapo. Komaa Mkuu, binafisi siku specialize huko, nina ABC tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom