Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Hivi wewe akili hata ya kuvukia barabara unayo ?
Jiwe ananunua yeyote yule anayehisi akiongea au akiandika ataamsha hisia zilizolala za wabongo. Siwezi shangaa wewe 'daktari' siku ukianza kumsifia na kumpigia magoti.
 
I
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
if you real don't afraid of her then invite her!!.....
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Coward people dies many times before their real death..! Shake Spears.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe akili hata ya kuvukia barabara unayo ?
Tangu lini mbeba box akawa na akili? Mtu aliyemua kujitoa ufahamu na kuamua kuishi utumwani ni mji.nga na mpumba.vu. Look to Lemutuz.....kapiga utwana miaka na miaka huko ng'ambo then anarudi bongo akiwa useless.
 
This Dada likes to cry cry (kulia lia) all the time

Halafu anatishia cat
 
Fatuma plz, stop being arrogant, ww mtu mdogo sanaa sanaaa kwa Mh. Rais, acha utoto na kujiona uko level hiyo, acha hiyo mentality ya kijinga, wee nani? Kisa baba yako alikuwa Rais unajiona na ww kama Rais unaweza mjibu Mh. Rais Magufuli kama ulivyolelewa kipuuzi.. Hivi nitajie any case uliyoshinda kwa miaka 5 iliyopita..!! Acha kumzoea zoea Mh. Rais JPM kama ulivyowazoea huko kwenu.. Kidomo punguza mwanamke..!!
 
Hivi wewe akili hata ya kuvukia barabara unayo ?
Mkuu sijaona mfuasi yeyote wa chadema mwenye akili vilevile sijaona mfuasi yeyote wa ccm mwenye akili. Tofauti yako na Ngabu ni kubwa sana ila sababu kichwa chako umekizamisha kwenye butt ya watu huwezi ona mpaka ukitoe. Ngabu kaandika mpaka makala ya kumkosoa Jiwe na wale wa chadema. Wewe kila kukicha kusifia viongozi wako hata kama ni pumba
 
Fatuma plz, stop being arrogant, ww mtu mdogo sanaa sanaaa kwa Mh. Rais, acha utoto na kujiona uko level hiyo, acha hiyo mentality ya kijinga, wee nani? Kisa baba yako alikuwa Rais unajiona na ww kama Rais unaweza mjibu Mh. Rais Magufuli kama ulivyolelewa kipuuzi.. Hivi nitajie any case uliyoshinda kwa miaka 5 iliyopita..!! Acha kumzoea zoea Mh. Rais JPM kama ulivyowazoea huko kwenu.. Kidomo punguza mwanamke..!!
Wewe mwenyewe kidomo!
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijaona mfuasi yeyote wa chadema mwenye akili vilevile sijaona mfuasi yeyote wa ccm mwenye akili. Tofauti yako na Ngabu ni kubwa sana ila sababu kichwa chako umekizamisha kwenye butt ya watu huwezi ona mpaka ukitoe. Ngabu kaandika mpaka makala ya kumkosoa Jiwe na wale wa chadema. Wewe kila kukicha kusifia viongozi wako hata kama ni pumba
That's what keeps her afloat.
 
Fatuma plz, stop being arrogant, ww mtu mdogo sanaa sanaaa kwa Mh. Rais, acha utoto na kujiona uko level hiyo, acha hiyo mentality ya kijinga, wee nani? Kisa baba yako alikuwa Rais unajiona na ww kama Rais unaweza mjibu Mh. Rais Magufuli kama ulivyolelewa kipuuzi.. Hivi nitajie any case uliyoshinda kwa miaka 5 iliyopita..!! Acha kumzoea zoea Mh. Rais JPM kama ulivyowazoea huko kwenu.. Kidomo punguza mwanamke..!!
hata bado endelea kuteseka naona Fatma anakutesa sana
 
Back
Top Bottom