Naanza kupata hofu juu ya busara za baadhi ya wasomi wa sheria ktk Tanzania ya Sasa.
Kama wamekuwa wapayukaji vile. Na wanakosa njia sahihi za kuwasilisha hisia zao zaidi ya kujawa na mihemko yenye nia ya kusaka uungaji mkono wa jamii ya Wa Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app