Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeeesss!!!!!!!!!!!! (Salam ndo inamalizia mwaka)

Leo nikiwa safarini bana nimekutana na wakuja flani hivi! Basi kaanza michakato ya kuomba chance! Kikubwa ni sound zake ndo haswaa zimenileta kuanzisha thread! Alikuwa very open! Like a book! Kasema black n white! Yuko interested na mimi, katoa wasifu wake ikazi, maisha na vingne! Ila akasisitiza yeye yuko interested kupeana good times na kupiga game za kirafiki! Kafunguka kuwa yeye hana mpango wa kuoa leo wala kesho so ni bora nikajua what im getting into!!!!! Khaaaaaaa! Pia kadai kuwa nikiwa nae ni kuspend quality time mwanzo mwisho! Hakuna ahadi ahadi za uongo wa kuoana au kutambulishana kwa wazazi! Ni just two adults having good times! Kama nipo tayari nimbeep! Nikapewa na business card! Khaaaaaaaaa! Kwenda na wakati huku!!!!!! Ila nimependa hii design mpya ya putting all the cards on the table!!!!!

Imekuwa ni jambo la kawaida katika mahaba wengi wetu kuwa si wa waziii!!!!!!!! Jst imagine unaenda kumuomba mtu nafasi moyoni mwake, ilhali unajijua kabisaa utakacho ni game tu! Au huna uhakika nini unataka ila unamchota mwenzio akili kuwa yeye ndo chaguo lako! Mda wotee mko mwenzio anakaa kukuimpress yeye ni wife material! Drama haziishi! Hata quality time mnasahau!!!!! Tabu ya nini vijana wadogo!!!!!! Kuwa muwazi tu kuwa nini unataka toka kwa mwenzio! Au kama hujielewi mwambie i like you ila kuhusu ndoa sina uhakika for now! Kesi za kupotezeana muda zinakuwa hakunaaa! Kila mtu anajua atakacho vuna hapo! Uwazi ndo fashion ya sasa! Hata vizinga vinapungua na drama zitaisha! Ni goodtimes mwanzo mwisho!

Hata MBA's (Married but Available) Katika hizo responsible cheatting zenuu hii policy inawafaa sanaaa! We mwambie bibi dada mi nina mke na wanangu hapa kwako ni kula goodtimes too! Siku quality ya goodtimes ikishuka nakuacha! Stress * 2 za wife na zako sizitaki! Mambo ya unanizalia siyataki! Sijakuomba! Be carefull ukishika mimba situnzi huyo mtoto zawadi yako! Na uwe na adabu ya kujali mambo yako, mke wangu hakuhusu kabisaaaa! Uko tayari? Akikubali basi mnakuwa on the same page! Hata we mdada unaejivinjari na kijigallow chako nje ya ndoa hivo hivo set the rules na boundaries! Sio tabia yenu ya kuvua pete na uongo mwingiii! Some times the Truth is Sexy!

Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

Nyie mwaonaje hizi changes za times!!!!!!!!!

....haya ni mambo ya kawaida Jolly Club, Kule Sinza, Buguruni, nk

It's an Ancient trade "agreement" kiasi kule Amsterdam, Brussels mpaka Islamabad wanazo Red Light Districts (...incase of choices)
 
sasa my dear umemjibu nini mlugaluga huyo? lol!

nafarijika sana kuskia haya toka kwa mwaume. but Thanda mbona naanza kupata harufu fulani wewe unish nchi gani vile??

Ni PM mama Klein nitakujuza nchi ninayioshi kwa sasa. Nisiiweke sana wazi humu. Ingawa utaona ni ktk Multiple Destinations. napenda pia kusikia kuwa unafarijika...Yote ni katika kuwa mwaminifu. Hebu kabla sijasema ni nchi gani mimi huishi, harufu unayoisikia unafikiri ni ya nchi gani?
 
mmmh! hapa naskia harufffuuuuuuuuuu ya mmmmh! ngoja Asprin anisaidie ila tuonane pm
 
Last edited by a moderator:
mmh! bora nimeona hii post asbh hii manake ingekuwa usiku nisingeijibu vyema. nikirejea swali lako la msingi kwamba kwann dating za siku hizi lazima ziambatane na kufanya ngono na je hii sio sababu ya mtu kujiingiza kwenye mahusiano yasiyo na tija na yenye mateso baadae mie nasema ni kweli kabisa siku hizi, mabinti +vijana wamekuwa ni watu wanaopenda kula vipara baasi. yaani kwao kumlana vipara ndo mapenzi na ndicho wanachokitaka ila uamuzi wa kwann nile kipara hawana.

yapo mengi yanayosababisha haya ila nitayataja machache tu kama sababu;-
a) kushindwa kustahimili hisia za miili ya vijana walio wengi. hili limekuwa ni sababisho kubwa sana vijana wa kike na kiume wote wamekuwa ni sababisho la kuendekeza kulana vipara hakuna mwenye staha ambaye anajipa a second thought kwamba naitakula kipara ili iwe nn.

b) mabinti kusahau thamani ya miili yao, hapa najua nitakurupushwa na wengi sana wa kileo, but ukweli unbaki pale pale kwamba mwanamke mwili wako ni wa thamani sanambele za kila akuonae. sio busara mwili wako kuufanya kama doormart kwamba kila mgeni ajaye lazima astep apo, unajiumiza. nilivyojistudy mie the more nilivyoikimbia zinaa ndivyo nilivyopata watu wengi waliotaka kunijua zaidi na waliopropose kutaka kuwa na mahusiano na mie. kwangu mm ilikuwa mwili wangu ni zawadi ya mume wangu na ni lazima awe ni mwanaume anayejua thamani ya mwanamke na ambaye anaweza kunionyesha nini maana ya mie kuwa mwanamke

c) ugumu wa maisha na tamaa za mambo makubwa miongoni mwa vijana wengi nalo pia huchangia kwa kiwango kikubwa sana sana sana. hapa unakuta mtu uwezo home ni mdogo basi jibidishe kwa yale yenye tija hakuna mtu anaanza kufikiri nimpate wapi mtu tulane kipara kisha anipe mshko. sikatai enzi zetu wapo waliofanya haya ila kwa akili sana namkumbusha rafiki yangu mmoja yeye alisomaga loleza girls miaka hiyo, aliwah kuwa na bf wakawa katika umri huo wanakulana kipara ili alipiwe hela ya tuiton ya geography na language. anywayz ilimasidia sana manake alipata div 2 na uzuri ni kwamba huyo alokuwa namlipia tuition ndo mumewe.

d) ulimbukeni wa vijana wengi. wengi wa vijana wa kileo ni malimbukeni, wanahamalika kwasababu ya vjiraha vya kuvuana chupi tu ila sie tulikuwa hivi tulikuwa tunatamani kweli kuona mwanaume anahangaika juu ya kipara chako. like mtu akiandika barua na kusema naisubiria siku ambayo tutakuwa wawili faraghani just to feel you ning=taona fahari sana. wewe unamjibu bado miaka mingapi tena ili tuweze kuwa huru?? unabaki kumwambia tuendelee kuvumialiana ipo siku tutakapofunga ndoa ukubwani. imagine mko form 3 ama 4 mnawaza siku itakapofika nyie mfunge ndoa na hapo mnatiana moyo na kuombeana kuwa na ustahmilivu basi lkn hamtamanianai kiasi cha kusema this lkizo njoo dar tuje tulane kipaara. ilikuwa nnakuja dar kwenye tuition na tulikuwa tunaonana tunafurahiana sana ila hatukuwah hata kuwaza kusogelea mlango wa zinaa manake woga ulikuwepo bado nafsin mwetu.

anywayz kwa vijana wa siku hizi wale ambao wana misimamo yao wanaweza ila wale ambao huwa wanapenda kaujaribu wanashindwa na wengine hujuta kwa wanachokifanya ama kujikuta wanaingia kwenye mtego wa kuanzisha familia a mwenza asiye sahihi kwake.

KWELI TIMES ZIMECHANGE!!!!!!!!!1 Enzi zenu i couldnt have survived a day!!!!!!!!!! Nijibu kifupi tu kuwa enzi hizi wanawake tumatake control ya maisha yetu! Sio kungojea mwanaume akupende afu ndo uamue kama wamtaka au humtaki ungojee mwengine aje!

Sisi kama unataka kitu you make it happen! Unaamua uchukue yupi uache yupi! ITS ALL ABOUT YOU N WHAT YOU WANT !!!!! Raha unajipa mwenyewe!!!!!!!!
 
....haya ni mambo ya kawaida Jolly Club, Kule Sinza, Buguruni, nk

It's an Ancient trade "agreement" kiasi kule Amsterdam, Brussels mpaka Islamabad wanazo Red Light Districts (...incase of choices)

SUIT YA SELF!!!!!!!!! Kila mtu na maisha yake! ITS A FREE COUNTRY!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
why girls shld be blamed??
ndio wasimamizi wa utu wao
ndio wasimamizi wa amani zao
ndio walioko kwenye risk za magonjwa kwa largre %
ndio victims wa mis behaviours mind you ukikutana na mzabzab akitoka na wewe malaya anabaki kuwa wewe yeye kidume anaoneka mwamba ingawa wote mmezini
risks za mimba na burden zake hulala kwa mwanamke

na mengine mengi ndio maana nasema bado wanaume hawana uchungu na sisi kama ambavyo sisi tunaweza kuwa na uchunu na maisha yetu wenyewe. tukibadlika sisi wao watabadilika tukiwendekeza eti kisa wanatutongoza basi watatumia mbinu hiyo hyo kuendelea kutuumiza.

Aaaaaaaaaah Wapi! Kujipa mijukumu yote hiyo wewe mama yake? Ukijitwika zigo lote hilo lazima uzeeke kabla ya muda wako!

La mbolea ni kuzingatia nini msichana unakitaka, na standards zako tuuuu! Zikifikiwa baaaaaaass! Huwezi kumcontrol mwanaume (Kwa faida ipi kwanza!) utajikuta unakufa kwa pressure bure!!!!!! Ndo mambo ya kusema wanaume kama watoto inabidi uwahandle with care!!!!!! Khaaaaaaa! zee na midevu yake ulihandle la kazi gani?

La msingi consider your part keep it right baaaaass, hayo ya mwenzio omba Maulana tu akuhurumie a kukulindia! Ila ukijivika kilemba cha ukoka kuwa yuo will make a difference kwenye behaviour ya mtu mwengine ni kujifariji tuuu!

Mtu amekuoa ila bado hafugiki itakuwa Bf!!!!! Kujichosha tu !
 
hahahha u do have a point...ila nakwambia hivi...wanawake wabongo full usanii...they want kuonekana innocent kichizi kumbe hamna lolote...wanatombekaa sana. ukimwambia ukweli kuwa wataka gud rtym tuu atakwambia mie sio malaya wala am not that cheap
lakushangaza anasema am not cheap lakini ameshikuwa na bf kama 5 na wameshammega sasa unajiuliza huo sio kuwa cheap...ukimwambia ukweli demu wakibongo utaishia kupata maneno ya kejeli tuu ndio maana watu wanaona bora wamdanganye demu apate papuchi asepe.

Sema wewe nikisema mie Kesi!
 
kwwli hamu haiishi na kila leo utaona papuchi mpya unataka kuigegeda...kugegeda ni starehe kwangu mie i enjoy it. ndio kilevi changu.
jamba ambalo linatatiza ni kwamba sioni tofauti kati ya mie ambae nagegeda na wale ambao wanakuwa katika mahusiano ambayo tunajua kabisa wengi wao wanasaliti hayo mahusiano.

THE TRUTH IS FOR THE FEW BRAVE!!!!!!!!!! Watu wanapenda sweet lies! Si unajua kujifariji nako kunasaidia!
 
I like this,ila sometimes you have to break the rules ili kupata ushindi,ndo maana kuna magoli ya offside au mkono wa mungu etc,na ukigundulika unaadhibiwa kama mchezaji anae dive etc,cha muhimu ni ushindi,ni mkakati na mtazamo wangu tu...naweza nikawa siko sahihi
 
lara1 mambo!! nimeku-miss sana. Huwa nakukubali sana wewe mtoto ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.....IQ yako bana!!! we acha tu. Una mauwezo ya kufikiri sana au ni yale maisha ya tabu ndo yamekufunza yote haya?

Hahahaaaaaaaaa! So you are implying kuwa nimeishi maisha ya tabu sana???????? Okay lets assume ni kweli nimeishi maisha ya tabu ili nikufurahishe! Past ya Mtu haidetermine future ya mtu hata siku 1. Hata kama hukuwa na control na past bt you have a control on your future!!!!!

So hata kama ningeishi maisha ya tabu ipi(of which sio kweli) LAZIMA NINGETOKA TUU KIMAISHA COZ I HAVE WHAT IT TAKES!!!!!!!!! Maisha ni wewe mwenyewe tu ya wazazi wako ya wazazi wako na yako ni yako! Papa Msofe alikuja na rambo mjini hapa, hajasoma hata chuo ila hakuna anaemkaribia now! Alex Massawe alikuwa anauza viberiti na sigara ila kakaza hata wasomi hawagusi moto ule! Hao ni wachache tu! Kifupi WHATEVER MY PAST WAS IT WILL NEVER CONTROL MY FUTURE!!!!!!!!

Maisha ni kuchagua na nimechagua kuishi nitakavyo mimi!!!!!!! Upo hapo!
 
mzabzab leo umehit the target....tatizo wanawake wengi full usanii, mtu anajidai ooooh sitaki 1nit stand miye siyo changudoa while kwa mwaka anagongwa na men zaidi ya 7 anaowaita Bf's...evry woman is a prostitute on her levo ....si bora siye wa 1nit stand once or twice per yea na kitu kinabaki full mnato wakati wenye kutaka kudanganywa na mabf's wa msimu full loose crews

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Girl You Nasty!!! Naomba ni bold haya maneno yamenikosha sanaa! Waache wazuge wakati ukweli wao wanaujua rohoni!!!!!!!!!!!!!! Ila haya ni makavu live!!!!!!!!

mtu anajidai ooooh sitaki 1nit stand miye siyo changudoa while kwa mwaka anagongwa na men zaidi ya 7 anaowaita Bf's...evry woman is a prostitute on her levo .
 
Hahahah shosti una haribu utafanya mama wachungaj wanishukie ka mwewe!
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Girl You Nasty!!! Naomba ni bold haya maneno yamenikosha sanaa! Waache wazuge wakati ukweli wao wanaujua rohoni!!!!!!!!!!!!!! Ila haya ni makavu live!!!!!!!!

mtu anajidai ooooh sitaki 1nit stand miye siyo changudoa while kwa mwaka anagongwa na men zaidi ya 7 anaowaita Bf's...evry woman is a prostitute on her levo .
 
hahhahahahah gfsonwin bana....yaani bado waamini ktk kumbebesha msalaba jinsi ke?? kama ni ishu ya risk ulizotaja si wanaplay safe tu.....isitoshe mwili ni wa gal mwenyewe so anadil na body yake jinsi atakavyo yeye na wala si according to jamii inasema nn!!
why girls shld be blamed??
ndio wasimamizi wa utu wao
ndio wasimamizi wa amani zao
ndio walioko kwenye risk za magonjwa kwa largre %
ndio victims wa mis behaviours mind you ukikutana na mzabzab akitoka na wewe malaya anabaki kuwa wewe yeye kidume anaoneka mwamba ingawa wote mmezini
risks za mimba na burden zake hulala kwa mwanamke

na mengine mengi ndio maana nasema bado wanaume hawana uchungu na sisi kama ambavyo sisi tunaweza kuwa na uchunu na maisha yetu wenyewe. tukibadlika sisi wao watabadilika tukiwendekeza eti kisa wanatutongoza basi watatumia mbinu hiyo hyo kuendelea kutuumiza.
 
Last edited by a moderator:
ciello, ile k2 inaonekana hujaipata mda mrefu sana, so if yo need it nishtue....
 
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeeesss!!!!!!!!!!!! (Salam ndo inamalizia mwaka)

Leo nikiwa safarini bana nimekutana na wakuja flani hivi! Basi kaanza michakato ya kuomba chance! Kikubwa ni sound zake ndo haswaa zimenileta kuanzisha thread! Alikuwa very open! Like a book! Kasema black n white! Yuko interested na mimi, katoa wasifu wake ikazi, maisha na vingne! Ila akasisitiza yeye yuko interested kupeana good times na kupiga game za kirafiki! Kafunguka kuwa yeye hana mpango wa kuoa leo wala kesho so ni bora nikajua what im getting into!!!!! Khaaaaaaa! Pia kadai kuwa nikiwa nae ni kuspend quality time mwanzo mwisho! Hakuna ahadi ahadi za uongo wa kuoana au kutambulishana kwa wazazi! Ni just two adults having good times! Kama nipo tayari nimbeep! Nikapewa na business card! Khaaaaaaaaa! Kwenda na wakati huku!!!!!! Ila nimependa hii design mpya ya putting all the cards on the table!!!!!

Imekuwa ni jambo la kawaida katika mahaba wengi wetu kuwa si wa waziii!!!!!!!! Jst imagine unaenda kumuomba mtu nafasi moyoni mwake, ilhali unajijua kabisaa utakacho ni game tu! Au huna uhakika nini unataka ila unamchota mwenzio akili kuwa yeye ndo chaguo lako! Mda wotee mko mwenzio anakaa kukuimpress yeye ni wife material! Drama haziishi! Hata quality time mnasahau!!!!! Tabu ya nini vijana wadogo!!!!!! Kuwa muwazi tu kuwa nini unataka toka kwa mwenzio! Au kama hujielewi mwambie i like you ila kuhusu ndoa sina uhakika for now! Kesi za kupotezeana muda zinakuwa hakunaaa! Kila mtu anajua atakacho vuna hapo! Uwazi ndo fashion ya sasa! Hata vizinga vinapungua na drama zitaisha! Ni goodtimes mwanzo mwisho!

Hata MBA's (Married but Available) Katika hizo responsible cheatting zenuu hii policy inawafaa sanaaa! We mwambie bibi dada mi nina mke na wanangu hapa kwako ni kula goodtimes too! Siku quality ya goodtimes ikishuka nakuacha! Stress * 2 za wife na zako sizitaki! Mambo ya unanizalia siyataki! Sijakuomba! Be carefull ukishika mimba situnzi huyo mtoto zawadi yako! Na uwe na adabu ya kujali mambo yako, mke wangu hakuhusu kabisaaaa! Uko tayari? Akikubali basi mnakuwa on the same page! Hata we mdada unaejivinjari na kijigallow chako nje ya ndoa hivo hivo set the rules na boundaries! Sio tabia yenu ya kuvua pete na uongo mwingiii! Some times the Truth is Sexy!

Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

Nyie mwaonaje hizi changes za times!!!!!!!!!
kwaio ndo umesha m-beep ama ndo unafikiria tu still enh?
 
Back
Top Bottom