Fair Game Katika Mahusiano!!!!!!!! Kuwepo Rules na Guidelines!!!!!!

Consider dating as 'mapenzi+uzinzi...

mmh! bora nimeona hii post asbh hii manake ingekuwa usiku nisingeijibu vyema. nikirejea swali lako la msingi kwamba kwann dating za siku hizi lazima ziambatane na kufanya ngono na je hii sio sababu ya mtu kujiingiza kwenye mahusiano yasiyo na tija na yenye mateso baadae mie nasema ni kweli kabisa siku hizi, mabinti +vijana wamekuwa ni watu wanaopenda kula vipara baasi. yaani kwao kumlana vipara ndo mapenzi na ndicho wanachokitaka ila uamuzi wa kwann nile kipara hawana.

yapo mengi yanayosababisha haya ila nitayataja machache tu kama sababu;-
a) kushindwa kustahimili hisia za miili ya vijana walio wengi. hili limekuwa ni sababisho kubwa sana vijana wa kike na kiume wote wamekuwa ni sababisho la kuendekeza kulana vipara hakuna mwenye staha ambaye anajipa a second thought kwamba naitakula kipara ili iwe nn.

b) mabinti kusahau thamani ya miili yao, hapa najua nitakurupushwa na wengi sana wa kileo, but ukweli unbaki pale pale kwamba mwanamke mwili wako ni wa thamani sanambele za kila akuonae. sio busara mwili wako kuufanya kama doormart kwamba kila mgeni ajaye lazima astep apo, unajiumiza. nilivyojistudy mie the more nilivyoikimbia zinaa ndivyo nilivyopata watu wengi waliotaka kunijua zaidi na waliopropose kutaka kuwa na mahusiano na mie. kwangu mm ilikuwa mwili wangu ni zawadi ya mume wangu na ni lazima awe ni mwanaume anayejua thamani ya mwanamke na ambaye anaweza kunionyesha nini maana ya mie kuwa mwanamke

c) ugumu wa maisha na tamaa za mambo makubwa miongoni mwa vijana wengi nalo pia huchangia kwa kiwango kikubwa sana sana sana. hapa unakuta mtu uwezo home ni mdogo basi jibidishe kwa yale yenye tija hakuna mtu anaanza kufikiri nimpate wapi mtu tulane kipara kisha anipe mshko. sikatai enzi zetu wapo waliofanya haya ila kwa akili sana namkumbusha rafiki yangu mmoja yeye alisomaga loleza girls miaka hiyo, aliwah kuwa na bf wakawa katika umri huo wanakulana kipara ili alipiwe hela ya tuiton ya geography na language. anywayz ilimasidia sana manake alipata div 2 na uzuri ni kwamba huyo alokuwa namlipia tuition ndo mumewe.

d) ulimbukeni wa vijana wengi. wengi wa vijana wa kileo ni malimbukeni, wanahamalika kwasababu ya vjiraha vya kuvuana chupi tu ila sie tulikuwa hivi tulikuwa tunatamani kweli kuona mwanaume anahangaika juu ya kipara chako. like mtu akiandika barua na kusema naisubiria siku ambayo tutakuwa wawili faraghani just to feel you ning=taona fahari sana. wewe unamjibu bado miaka mingapi tena ili tuweze kuwa huru?? unabaki kumwambia tuendelee kuvumialiana ipo siku tutakapofunga ndoa ukubwani. imagine mko form 3 ama 4 mnawaza siku itakapofika nyie mfunge ndoa na hapo mnatiana moyo na kuombeana kuwa na ustahmilivu basi lkn hamtamanianai kiasi cha kusema this lkizo njoo dar tuje tulane kipaara. ilikuwa nnakuja dar kwenye tuition na tulikuwa tunaonana tunafurahiana sana ila hatukuwah hata kuwaza kusogelea mlango wa zinaa manake woga ulikuwepo bado nafsin mwetu.

anywayz kwa vijana wa siku hizi wale ambao wana misimamo yao wanaweza ila wale ambao huwa wanapenda kaujaribu wanashindwa na wengine hujuta kwa wanachokifanya ama kujikuta wanaingia kwenye mtego wa kuanzisha familia a mwenza asiye sahihi kwake.
 
we loya hebu acha porojo mabinti ndo hawan msimamo ama nyie ndo mnataka vidude first hand?? nyie ndo muache kulilia vidude mapema muwe wavumilivu la hamuwezi basi muwe wawazi....men wa type ya mume wa mwl gfsonwin hawako sasa hivi sasa iweje utake kufosi mabinti kuwa kama mwalimu while nyie mmechange?? be realistic

lakini Ciello niliwahi kuuliza baadhi ya wanaume kwann wanapenda kula vipara zaid kuliko kupenda wanaowala vpara?? majibu yao yaiakuwa hivi kwamba sisi wanaume tunapenda kwa kuona na tunatamania kwa macho tu sasa kila nimwonapo mwanamke huwa tamaa inafungua ukurasa wake, na kimsingi ukiiendeeza tamaa iyo easting ikakubali huna jinsi lazima umle mtu kipara ndo utapata amani.

sasa ili kuzuia haya ni bora wanawake wao ndio wakatuchochea kwenye kuiacha hii tabia kwa kuwa na msimamao kwamba siwez kuzini na mtu so hata kama utatongozwa vp hutokubali kuliwa kipara.

kwangu mm nilikubaliana nae ila pia nikawaambia ikumbukwe mwisho wa sik msimamaizi wa nidham ya mtu kwenye maisha ni mtu binafsi wala sio mtu wa pembeni.
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeeesss!!!!!!!!!!!! (Salam ndo inamalizia mwaka)

Leo nikiwa safarini bana nimekutana na wakuja flani hivi! Basi kaanza michakato ya kuomba chance! Kikubwa ni sound zake ndo haswaa zimenileta kuanzisha thread! Alikuwa very open! Like a book! Kasema black n white! Yuko interested na mimi, katoa wasifu wake ikazi, maisha na vingne! Ila akasisitiza yeye yuko interested kupeana good times na kupiga game za kirafiki! Kafunguka kuwa yeye hana mpango wa kuoa leo wala kesho so ni bora nikajua what im getting into!!!!! Khaaaaaaa! Pia kadai kuwa nikiwa nae ni kuspend quality time mwanzo mwisho! Hakuna ahadi ahadi za uongo wa kuoana au kutambulishana kwa wazazi! Ni just two adults having good times! Kama nipo tayari nimbeep! Nikapewa na business card! Khaaaaaaaaa! Kwenda na wakati huku!!!!!! Ila nimependa hii design mpya ya putting all the cards on the table!!!!!

Imekuwa ni jambo la kawaida katika mahaba wengi wetu kuwa si wa waziii!!!!!!!! Jst imagine unaenda kumuomba mtu nafasi moyoni mwake, ilhali unajijua kabisaa utakacho ni game tu! Au huna uhakika nini unataka ila unamchota mwenzio akili kuwa yeye ndo chaguo lako! Mda wotee mko mwenzio anakaa kukuimpress yeye ni wife material! Drama haziishi! Hata quality time mnasahau!!!!! Tabu ya nini vijana wadogo!!!!!! Kuwa muwazi tu kuwa nini unataka toka kwa mwenzio! Au kama hujielewi mwambie i like you ila kuhusu ndoa sina uhakika for now! Kesi za kupotezeana muda zinakuwa hakunaaa! Kila mtu anajua atakacho vuna hapo! Uwazi ndo fashion ya sasa! Hata vizinga vinapungua na drama zitaisha! Ni goodtimes mwanzo mwisho!

Hata MBA's (Married but Available) Katika hizo responsible cheatting zenuu hii policy inawafaa sanaaa! We mwambie bibi dada mi nina mke na wanangu hapa kwako ni kula goodtimes too! Siku quality ya goodtimes ikishuka nakuacha! Stress * 2 za wife na zako sizitaki! Mambo ya unanizalia siyataki! Sijakuomba! Be carefull ukishika mimba situnzi huyo mtoto zawadi yako! Na uwe na adabu ya kujali mambo yako, mke wangu hakuhusu kabisaaaa! Uko tayari? Akikubali basi mnakuwa on the same page! Hata we mdada unaejivinjari na kijigallow chako nje ya ndoa hivo hivo set the rules na boundaries! Sio tabia yenu ya kuvua pete na uongo mwingiii! Some times the Truth is Sexy!

Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!

Nyie mwaonaje hizi changes za times!!!!!!!!!

hahahha u do have a point...ila nakwambia hivi...wanawake wabongo full usanii...they want kuonekana innocent kichizi kumbe hamna lolote...wanatombekaa sana. ukimwambia ukweli kuwa wataka gud rtym tuu atakwambia mie sio malaya wala am not that cheap
lakushangaza anasema am not cheap lakini ameshikuwa na bf kama 5 na wameshammega sasa unajiuliza huo sio kuwa cheap...ukimwambia ukweli demu wakibongo utaishia kupata maneno ya kejeli tuu ndio maana watu wanaona bora wamdanganye demu apate papuchi asepe.
 
lara1 mambo!! nimeku-miss sana. Huwa nakukubali sana wewe mtoto ila nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.....IQ yako bana!!! we acha tu. Una mauwezo ya kufikiri sana au ni yale maisha ya tabu ndo yamekufunza yote haya?

kwwli hamu haiishi na kila leo utaona papuchi mpya unataka kuigegeda...kugegeda ni starehe kwangu mie i enjoy it. ndio kilevi changu.
jamba ambalo linatatiza ni kwamba sioni tofauti kati ya mie ambae nagegeda na wale ambao wanakuwa katika mahusiano ambayo tunajua kabisa wengi wao wanasaliti hayo mahusiano.

sasa wafikiri kwasabab watu wanahubri usaliti ndoani basi kwako wewe ni credit ya kuendelea kula vipara??

skatai kuna kuanguka dhambini may be once, lkn kuna kutubu pia na kurudi mstarini, mtu huwez ukawa chuma kwamba hutatikisika milelel never but once uangukapo rudi nyuma tubu endelea na maisha yako ya kawaida. nampenda mtu anayeish kwa usafi ila nampenda zaid yule ambaye ameish kwa usafi na ikatokea ameanguka dhambini basi hujirudi na kutubu na kisha kuendelea na maisha yake bila shida. huyu ni hero at least to me.
 
Mama nanihii, nimemiss post zako, unaendeleaje mama Klein? Kwa hapa nina mchango kidogo tu, ukiwauliza watanzania wanaoishi Uhabeshi watakwambia. Wahabeshi wao hawana shida na mausumbufu yasiyo lazima katika masuala kama haya....rafiki yangu wa karibu, Muhabeshi na Mwanasheria kitaaluma, binti wa miaka kama 29 kwa sasa (Melkam Araya Tesfaye) aliwahi kuniambia kuwa wao wanabadilishana uzoefu. .....yaani si dhambi hata kidogo Mke wa Thanda akijinafasi na baba Klein....na wakati huohuo Thanda na mama Klein wanajua kinachofanywa na wenza wao. Kwa ufupi ni kwamba kwao "Husbands and wives can be exchanged between friends"

lakini Ciello niliwahi kuuliza baadhi ya wanaume kwann wanapenda kula vipara zaid kuliko kupenda wanaowala vpara?? majibu yao yaiakuwa hivi kwamba sisi wanaume tunapenda kwa kuona na tunatamania kwa macho tu sasa kila nimwonapo mwanamke huwa tamaa inafungua ukurasa wake, na kimsingi ukiiendeeza tamaa iyo easting ikakubali huna jinsi lazima umle mtu kipara ndo utapata amani.

sasa ili kuzuia haya ni bora wanawake wao ndio wakatuchochea kwenye kuiacha hii tabia kwa kuwa na msimamao kwamba siwez kuzini na mtu so hata kama utatongozwa vp hutokubali kuliwa kipara.

kwangu mm nilikubaliana nae ila pia nikawaambia ikumbukwe mwisho wa sik msimamaizi wa nidham ya mtu kwenye maisha ni mtu binafsi wala sio mtu wa pembeni.
 
Mama nanihii, nimemiss post zako, unaendeleaje mama Klein? Kwa hapa nina mchango kidogo tu, ukiwauliza watanzania wanaoishi Uhabeshi watakwambia. Wahabeshi wao hawana shida na mausumbufu yasiyo lazima katika masuala kama haya....rafiki yangu wa karibu, Muhabeshi na Mwanasheria kitaaluma, binti wa miaka kama 29 kwa sasa (Melkam Araya Tesfaye) aliwahi kuniambia kuwa wao wanabadilishana uzoefu. .....yaani si dhambi hata kidogo Mke wa Thanda akijinafasi na baba Klein....na wakati huohuo Thanda na mama Klein wanajua kinachofanywa na wenza wao. Kwa ufupi ni kwamba kwao "Husbands and wives can be exchanged between friends"

mie mzima kabisa Thanda

hayo ya kubadilishana wapenzi hayo yana jaina lake nafikir hapa The Boss atanikumbusha ainaitwaje tena ila mie aaah wapyyyyyyy sithubutu. utamu wangu nimpe mtu baki?? for godsake i cant aisee.
 
Last edited by a moderator:
mie mzima kabisa Thanda

hayo ya kubadilishana wapenzi hayo yana jaina lake nafikir hapa The Boss atanikumbusha ainaitwaje tena ila mie aaah wapyyyyyyy sithubutu. utamu wangu nimpe mtu baki?? for godsake i cant aisee.

Nafurahi usana kusikia hivyo, Bora waaminifu tu. Katika moja ya hoja katika post zangu kuna baadhi ya wadau waliniponda kwa kusema najisifia na mke wangu, ati hapo ni kujikosha,,,la hasha, ukweli huwa unabaki kuwa ukweli na mtu mkweli siku zote hudumu katika huo. Utamu woooote naomba mtunzie baba nanihii na usimpe mwingine.

uzuri mie huwaga na admit makosa yangu, una wakati niliwah kukosea sana ila niligundua kwamba nakosea nilirud fasta bila hata mtu kushtukia nikatubu kwa mungu wangu nikaweka sawa, nikasema sasa ngoja home niongeze viungo eebwana weee hali ilikuwa si hali uspime hadi leo hii ni miongoni mwa wamama bora sana wenye kupenda familia zao.
 
sasa wafikiri kwasabab watu wanahubri usaliti ndoani basi kwako wewe ni credit ya kuendelea kula vipara??

skatai kuna kuanguka dhambini may be once, lkn kuna kutubu pia na kurudi mstarini, mtu huwez ukawa chuma kwamba hutatikisika milelel never but once uangukapo rudi nyuma tubu endelea na maisha yako ya kawaida. nampenda mtu anayeish kwa usafi ila nampenda zaid yule ambaye ameish kwa usafi na ikatokea ameanguka dhambini basi hujirudi na kutubu na kisha kuendelea na maisha yake bila shida. huyu ni hero at least to me.

mie nakula vipara becoz i enjoy it and sitaki stress za marelationships. wanawake wa siku hizi full maujanja sasa mie ni very honest person....nitaishia kuumizwa mie tuu.
 
wapo ambao wako honest kama wewe.
btw umeshaumizwa mara ngapi labda??
 
uzuri mie huwaga na admit makosa yangu, una wakati niliwah kukosea sana ila niligundua kwamba nakosea nilirud fasta bila hata mtu kushtukia nikatubu kwa mungu wangu nikaweka sawa, nikasema sasa ngoja home niongeze viungo eebwana weee hali ilikuwa si hali uspime hadi leo hii ni miongoni mwa wamama bora sana wenye kupenda familia zao.

Nikisikia hivyo "mama bora" napata afya na kujiamini zaidi. Kwangu mimi pia "I am the luckiest man on earth with happy marriage" Ndoa iliyobarikiwa na yenye watoto watatu. Najua wanawake mnaweza, kweli mkiamua kutufanya tujisikie tuko paradise mnaweza100%.

mzabzab leo umehit the target....tatizo wanawake wengi full usanii, mtu anajidai ooooh sitaki 1nit stand miye siyo changudoa while kwa mwaka anagongwa na men zaidi ya 7 anaowaita Bf's...evry woman is a prostitute on her levo ....si bora siye wa 1nit stand once or twice per yea na kitu kinabaki full mnato wakati wenye kutaka kudanganywa na mabf's wa msimu full loose crews
hahahha u do have a point...ila nakwambia hivi...wanawake wabongo full usanii...they want kuonekana innocent kichizi kumbe hamna lolote...wanatombekaa sana. ukimwambia ukweli kuwa wataka gud rtym tuu atakwambia mie sio malaya wala am not that cheap
lakushangaza anasema am not cheap lakini ameshikuwa na bf kama 5 na wameshammega sasa unajiuliza huo sio kuwa cheap...ukimwambia ukweli demu wakibongo utaishia kupata maneno ya kejeli tuu ndio maana watu wanaona bora wamdanganye demu apate papuchi asepe.
 
Last edited by a moderator:
mzabzab leo umehit the target....tatizo wanawake wengi full usanii, mtu anajidai ooooh sitaki 1nit stand miye siyo changudoa while kwa mwaka anagongwa na men zaidi ya 7 anaowaita bf's...evry woman is a prostitute on her levo ....si bora siye wa 1nit stand once or twice per yea na kitu kinabaki full mnato wakati wenye kutaka kudanganywa na mabf's wa msimu full loose crews

kha!!!! Mapya haya....for the first time hapa jf nimepata mwanamke ambaye amesema as it is. Hongera sana dada...itabidi nikupepe ofa ya outing kukuwa na guts hizo.
 
Nikisikia hivyo "mama bora" napata afya na kujiamini zaidi. Kwangu mimi pia "I am the luckiest man on earth with happy marriage" Ndoa iliyobarikiwa na yenye watoto watatu. Najua wanawake mnaweza, kweli mkiamua kutufanya tujisikie tuko paradise mnaweza100%.

nafarijika sana kuskia haya toka kwa mwaume. but Thanda mbona naanza kupata harufu fulani wewe unish nchi gani vile??
 
Last edited by a moderator:
Ticha nakubalia nawe ktk hili ila hapa tunajadil uhalisia wa mahusiano ya kileo hayo uyasemayo labda tuanze kuyahamasisha ili kubadil hyo hali msiweke blame tu kwa mabinti while it takes two to tango na changes lazima zianze na wanaume kwan hao ndo iniciator wa mahusiano hayo kwa part kubwa!!
lakini Ciello niliwahi kuuliza baadhi ya wanaume kwann wanapenda kula vipara zaid kuliko kupenda wanaowala vpara?? majibu yao yaiakuwa hivi kwamba sisi wanaume tunapenda kwa kuona na tunatamania kwa macho tu sasa kila nimwonapo mwanamke huwa tamaa inafungua ukurasa wake, na kimsingi ukiiendeeza tamaa iyo easting ikakubali huna jinsi lazima umle mtu kipara ndo utapata amani.

sasa ili kuzuia haya ni bora wanawake wao ndio wakatuchochea kwenye kuiacha hii tabia kwa kuwa na msimamao kwamba siwez kuzini na mtu so hata kama utatongozwa vp hutokubali kuliwa kipara.

kwangu mm nilikubaliana nae ila pia nikawaambia ikumbukwe mwisho wa sik msimamaizi wa nidham ya mtu kwenye maisha ni mtu binafsi wala sio mtu wa pembeni.
 
Last edited by a moderator:
wajua nn hiyo ya kusema mtu amempotezea muda wake ni kwakuwa hakuwa wazi 4m the begining, shosti anakuwa bize na jamaa akijua amehit jackpot kumbe msela yuko kwenye mazoezi ktk kumpata the one...ila mkiwa wazi tangu mwanzo hayo ya kusema umepotezewa muda haitokuwa relevant kwani mhusika anakuwa ameridhia mwenyewe...mie niliwahi mdamp jamaa kutokana na situation ka hiyo!!!

sr.,s.r!kidole na macho!
 
Ticha nakubalia nawe ktk hili ila hapa tunajadil uhalisia wa mahusiano ya kileo hayo uyasemayo labda tuanze kuyahamasisha ili kubadil hyo hali msiweke blame tu kwa mabinti while it takes two to tango na changes lazima zianze na wanaume kwan hao ndo iniciator wa mahusiano hayo kwa part kubwa!!

why girls shld be blamed??
ndio wasimamizi wa utu wao
ndio wasimamizi wa amani zao
ndio walioko kwenye risk za magonjwa kwa largre %
ndio victims wa mis behaviours mind you ukikutana na mzabzab akitoka na wewe malaya anabaki kuwa wewe yeye kidume anaoneka mwamba ingawa wote mmezini
risks za mimba na burden zake hulala kwa mwanamke

na mengine mengi ndio maana nasema bado wanaume hawana uchungu na sisi kama ambavyo sisi tunaweza kuwa na uchunu na maisha yetu wenyewe. tukibadlika sisi wao watabadilika tukiwendekeza eti kisa wanatutongoza basi watatumia mbinu hiyo hyo kuendelea kutuumiza.
 
Last edited by a moderator:
He who laughs last laughs longer...kusema ni rahisi..utekelezaji sasa??
Unadhani kibongobongo shoga zako watakusoma ukiwaambia 'hapa nakula good times tu..ndoa sio mpango mzima'
Prisoner 46664 hebu muulize Ciello kama ana kifua...

Ha haaa...
Hamna haja ya kumuuliza mkuu SnowBall...
Hanacho,..and the reason is simple!!...she is a woman!!...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom