asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Naenda church nikirudi humu Nakinukishaa kama sio Kulichokozaa! naanzisha mada ya 2012 MMU SEXIEST BACHELORS!!!!!!!! Na vigezo vyao! Nani na nani watakuwemo?????? Usikose kesho chrissmass hakuna kulala humu!
BWANA AWE NANYI!!!!!!!!
ha ha ha ha! kubwa la maadui bwana , wakati mwingine matendo yako hayafanani na unayoyaandika humu au wakati mwingine sijui naota.