x-mass poa tu hapa nilipo naoka x-mass keki na napika vijisambusa na kababu za kula usiku wakati wa eve.
nimeanda juice ya ubuyu na ukwaju, pamoja na ya nanasi, embe na passion. vinywaji vyenye kileo nilitengeneza mvinyo wa embe na rozella kwa hiyo kuna mvinyo uliopikwa na kutengeneza kitaalamu kabisa na ni swt wine red.
kwa upande wa barbecue kuna grilled pork, na bata ila pia kuna main dishes wali &french fries pamoja na brow stew na dessert creamed cake buttered cake.
hoi hutumii pork??Jamani ...lolz
Hapo kwenye berberque..hapo...mimi hoi
Halaf huo mvinyo!!....nihesabie na mimi naja wallah!!
Hahahaaaaaaaaaaa! Mchujo utapita!!!!!? Inabidi ujipange!
Tichaaaa! Naomba msamaha kama nimekukwaza ila kuhusu hio statement Hata Mama Lara 1 nae alikuwaga binti kigoli sasa mimi sikuwepo enzi hizo so siwezi jua myenendo yake!Mi mwenyewe nikiwa mtu mzima binti yangu ole wake afate nyendo zangu!!!!!!!! Nasisitiza ole wake! Namtupa convent shirikani huko akapate wito wa Usister!!!!!!!
Mambo ya kipuuzi sitotaka kabisaaa kutoka kwake!
Huu ni usemi tu ila kama unajijua haumo baasi unaupuuzia! Huu usemi sio utabiri wa kinabii kuwa lazima utimie! La hashaaaa!
Mbu huo ni usemi tu so take it seriously!
hoi hutumii pork??
hahahah! uisoma old moshi??Unauliza tende Uarabuni...hebu kuwa serious mwalimu?
Nimesoma Old Moshi na wewe jana ulijieleza ulisoma Ashira..hebu jiulize maeneo ya Longuo karibu na CCP tulikuwa tunafuata nini?......
hahahah! uisoma old moshi??
mamam weee kumbe ulikuwa mchumba wetu sio?? manake enzi hizo wachumba zetu walikuwa old moshi, ilboru na umbwe. hahhaha! kama ulikuwa disco never miss utamkumbuka vyema lady of ushers wa ashira binti mmoja hivi alikuwa mrembo kweli jina lake lilianziwa na herufi A lol!
Sasaje?....miye nilisoma pale Advance 1996-98...tena umenikumbusha wadada wa Ashira, Weruweru,Machame Girls...lolz..Disco gani litokee nisiwepo? (Ila Ashira mlikuwa warembo sana aisee)..ila utoto bwana...Hivi sio ndio kipindi hiko binti wa Mh wa IPP alikuwa anasoma huko?....huh!...
yes. but that yr nilikuwa tayari nimeshakwenda weruweru kwa A school unakumbuka wale mabinti wa weruweru waliokufaga Arusha kwa ajali ya gari?? nilisoma nao na ndo ilikuwa graduation yetu that time
hahahahah gal u bad......unatusi mama zako??? kweli redds mbaya.....una mix na dompo nn nowdayz...
Yeaah..naikumbuka hiyo Ajali..na ilitikisa kinoma enzi hizo...
basi niitimu that yr. wakumbuka disco la mwisho tulikuja old moshi? tukanywa mbege kule rau?
Si nimejishaua kukopa kimsemo cha Shakesphere Every girl ia a prostitute in her own level!!!!!!!! Weeeeee pakachimbika humu!
Kunya anye kuku akinya bata kaharishaaa!!!!!
Si unajua tena madisco yetu...kukumbatia kwiingi...but that was best for the time being...
basi niitimu that yr. wakumbuka disco la mwisho tulikuja old moshi? tukanywa mbege kule rau?
hivi hii ilikuwa mwaka gani ticha?
sasa wafikiri kwasabab watu wanahubri usaliti ndoani basi kwako wewe ni credit ya kuendelea kula vipara??
skatai kuna kuanguka dhambini may be once, lkn kuna kutubu pia na kurudi mstarini, mtu huwez ukawa chuma kwamba hutatikisika milelel never but once uangukapo rudi nyuma tubu endelea na maisha yako ya kawaida. nampenda mtu anayeish kwa usafi ila nampenda zaid yule ambaye ameish kwa usafi na ikatokea ameanguka dhambini basi hujirudi na kutubu na kisha kuendelea na maisha yake bila shida. huyu ni hero at least to me.